mdau anitha s. hakika leo amezindua kwa kishindo kitabu chake 'cries of a child - the journey of discovery' kilichosheheni mashairi murua na simulizi tamu. anapatikana ahakika@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Dada hongera sana. Keep it up. Sasa ni vyema ukaanza kuangalia soko la ndani na nje. Talk to Mkuki na Nyota, British Council nk, they might give you helpful ideas!

    Where do we get the copies?

    ReplyDelete
  2. dada weka hivyo vitabu on Amazon.com ili na watu walioko nchi za nje waweze kununua.
    Kwani watu wanachoka kusoma vitabu vilivyoandikwa na wazungu tu kila siku mtu huwezi ku-connect navyo, kwani wana maadili tofauti na sisi.
    Hongera sana.

    ReplyDelete
  3. Hongera kwa wingi Anitha!! Juhudi zako ni wajibu tuziunge mkono.
    Nakubaliana na wadau waitangulia kuhusu kutazama soko la nje pia.
    Tuwasiliane kupitia http://myspace.com/akiey5
    na huenda tukashirikiana kukufahamisha kwa wengi katika mataifa ughaibuni.

    ReplyDelete
  4. demu mzuri kinoma naomba msinipe namba sitaki kuwasiliana naye.halafu mnasema huyo msomali ni mzuri?Angalieni hiki chombo hapa,mnato mnato mnato tu hapa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...