Home
Unlabelled
barclays
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kuuliza wadau,hivi yale majengo ya iliyokua NBC ambayo NBC Ltd. na NMB wanaendeshea shughuli zao ni mali ya nani? NHC,PSRC au nayo walimilikishwa?Mdau anayejua anifahamishe naomba sana wadau
ReplyDeleteMichuzi sijakuelewa unamaana hiyo ni branch ya barclays bank hapo Dsm au nyumba ya mtu anajihita Barclays, naomba nitoe ushamba.
ReplyDeleteSahihi: Nkrumah sio Nkurumah!
ReplyDeleteHIYO NI BRANCH MPYA YA BARCLAYS ILIYOPOCHINI YA HOTEL KIBODYA. SASA HIVI BARCLAYS WAMEAMUA KUFUNGUA MATAWI MENGI SANA DAR KILA MAHALI. HATUJUI HII KUWEKA BENKI CHINI YA HOTELI KAMA HIYO NI SALAMA AU JAMAA WANAWEZA 'KUTOBOA' TOKA JUU...
ReplyDeleteMZOZAJI.
Ama kweli nyumbani hatujali mandhali. Hivi kweli hawa Barclays wameshindwa hata kupaka rangi japo kwa nje ya jengo kabla ya kufungua hiyo branch. kwa staili hiyo siwaamini hata kuinvest nao, tunatakiwa tuwe na utaratibu wa kuyaboresha majengo. Hapo utafikiri nyumba ya NHC. kweli Bongo ni tambarare
ReplyDeleteANONY WA KWANZA MAJENGO YALIUZWA PAMOJA NA BIASHARA...KWA HIYO MAJENGO YOTE YA NBC MIKOANI NI YA NBC LTD AMBAYO KWA KIASI KIKUBWA NI MALI YA ABSA 55%, SEREKALI 30, NA IFC 15%. SINA UHAKIKA KAMA SERIKALI BADO INA SHARE YAKE.
ReplyDeleteHapana kwa kweli nimeona barclays kenya na uganda kwa mwendo huu wanaidhalilisha brand yao. Itabidi watafute jengo lingine maana hapo wamechemsha unless barcalys imeuzwa kwa mdau mwingine nitajaribu kuelewa
ReplyDeleteKwa taarifa zisizo na uhakika ni kuwa Barclays wameamua kuwa karibu zaidi na wateja wa kati na wa chini, badala ya wa juu na wa kati, ni mabadiliko ya sera. Wanafungua branch zaidi ya 20 tanzania, na nyingi zinahamishika (prefabricated bld) wako hadi magomeni, kinondoni mikocheni in shor katika makazi na wafanyabiashara wadogo.
ReplyDeleteon my side, it is very encouraging to us smaill 'investors'
ReplyDelete