vijana wa zamani young kim (shoto) na ommy tall bado wanaendeleza libeneke kwa ujasiriamali wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu ndiye Kim mtoto wa mjini hasa Kim wa Kim and the Boys kwa vijana wa zamani akina Mkandara, akina young millionaire, David Holela, Michuzi enzi hizoooo... wanajua nasema nini na huyu ndiye Omar Tall anayeimbwa kwenye kila wimbo wa Dance Kuanzia Fm mpaka Chuchu Sound...

    ReplyDelete
  2. micvhuzi embu nipe namba ya kim rafiki yangu ,nimsalimie,mwambie cool love s anakutafuta..ebwana santana,super deo wako wapi siku hizi..chuku duso..makongoro nyerere..kim azeeki..duuuh.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...