twissa na mihayow wakigawa bingo la tigozzz



weita akichukua malipo ya dina la mchana zimbabwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Uchumi wa Zimbabwe umeharibika sana. Kiwango cha mfumuko wa bei (inflation rate) ni zaidi ya 3000%. Nilikuwa Harare June 2006 kwenye shughuli zangu, nilishangazwa mno na exchange rate iliyokuwapo. USD moja ilikuwa inanunuliwa kwa Zim Dollars (hela ya Zimbabwe) 250,000. Na ukienda kesho yake unakuta ni laki tatu! Yaani hela yetu ya Bongo ambayo watu wanaona si mali, kule ilikuwa sh 100 yetu (jiti) unapata ZimDollar 23,000, yani kwa elfu 5 ya kwetu wewe ni milionea (1.3m ZD). Mkate sokoni (ile wanayopanga njiani kwenye makreti ya mbao), size ya kati ilikuwa ZD 120,000. Boflo kwenye supermarket watu walikuwa wananunua kwa laki 2. Colgate ile ndogo kabisa size kama mfuniko wa Bic niliuziwa 70,000. Yaani ni vituko. Kulikuwa na noti ya 100,000 ambayo ilikuwa inatosha kununua nusu kilo tu ya sukari. Jamaa yangu mmoja niliyesoma naye chuo nilimkuta Harare, akaniambia alikuwa analipwa milioni 20 kwa mwezi (ni miongoni mwa watu wanaolipwa vizuri huko), ambazo kwa mwaka jana zilikuwa sawa na sh 85,000 kwa mwezi. Sijui hali ikoje sasa.

    ReplyDelete
  2. Lakini hata hizi zetu ni mzigo sana, ona hayo mafurushi! Si wawalipe kupitia account zao?

    ReplyDelete
  3. kithuku sasa kama mtu anaenda shopping ya maana hela wanaweka wapi?au kwenye magunia?

    ReplyDelete
  4. kevin naona unalamba tigo sana siku hizi,safi sana lakini tunakuhitaji Columbus tuje kuwa wajasiliamali maana kijana mambo ya kuhustle unayaweza...safi sana lakini nataka uwe na kampuni yako na wewe

    ReplyDelete
  5. Dina la Mchana ndiyo nini? Upupu mtupu!

    ReplyDelete
  6. mambo haya ndiyo yananifanya niwasifu waliogunduwa credit cards sasa fikiria ukienda kununua kitu kama gari utachukuwa magunia mangapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...