machevy pia yapo bongo...hili ni mgahawa unaotembea. kila siku linapaki karibu na bilicanas

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi unamabo wewe! Baada ya kutuwekea H2 sas unaleta ol' school.

    Naizimia hiyo 57' chevy pickup truck.

    ReplyDelete
  2. Inanikumbusha kwa Fidel Castro kisiwani Cuba. Ma-Chevy ya mwaka 1940 mali kweli kweli. Linadi katika mtandao wa www.ebay waweza kupata £ 15,000 maana magari ya mwaka 47 mali huku ulaya na marekani.
    Mdau
    Malibu, Hollywood
    USA

    ReplyDelete
  3. Wanapika nini? maharage!?

    ReplyDelete
  4. Makumbusho

    ReplyDelete
  5. MAALIM ISSA HIYO NGOMA HUKU BEI KUBWA TU.."..PIMP MAI RAID.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...