sema chiiiiizzzzzzzzz......

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. What's next?kazi zenyewe bongo hakuna,muda si mrefu wabongo tutakuwa kama wanigeria wasomi wengi nafasi za kazi kiduchu.Matokeo yake ni kukuwa kwa utapeli na crimes nyingine

    ReplyDelete
  2. Mi nadhani Mdau Sunday, November 25, 2007 3:35:00 AM EAT, ungewapa ushauri wapi pa kwenda baada ya hapo.. sio kuwauliza what's next??..kutokuwa na kazi sio sababu ya Kutufanya tusisome... Kwani sio kila Mtu anasome ili afanye kazi katika shirika au serekali.. wengine tunakamua tujifanyie kazi wenyewe..sasa bila elimu utajiajirije..? au ndio unafikiri biashara ni Kuuza na kununua?? aaa wapi.. wajameni pigeni shule.. na NCHI SIO MOJA DUNIANI.. Mi Nawajua watu kibao na Nondo za UDSM wanafanya kazi nchi kibao nje ya nchi.. Kuna ma-inji(Ze mrema) kibao yanahitaji wasomi kwasababu wakati sisi tunasoma wao walikuwa wanapigana vita kuwatoa mabeberu na matapeli wa serekali zao (Hatuwalaumu na tunawapa pole).. sasa vita Zimeisha na wasomi hawana.. kwahiyo wadau wakiingia.. wanakula ajira kiulaiinnn... Ni kweli Nigeria wasomi wengi kazi hakuna .. na huenda ikawa Ni sababu ya kuwa na matapeli wengi huko kwao.. lakini ukiangalia upande wa pili wana wasomi kibao wanatambulika kimataifa.. kama mzee wetu IBRAHIM GAMBARI..Ze convoi mwenyewe wa UN...au hukumuona wakati anawawakilisha wanaigeria + UN huko Burma.?? Bush mwenyewe analitamka vizuri Jina lake.. Au mama MIGIRO.. angekalia Kuangalia watu wasio na ajira Ingekuwaje.??
    Jamani tutafute masuluhisho na sio kulaumu.. bila kupata solusheni....NCHI ZIKO KIBAO DUNIANI. Kazi kokote. SIO LAZIMA BONGO. Halaf inapendeza sana ukiwa zako kama Botswana hivi unapiga Mzigo profesheni kwa nondo yako ya UDSM...Ila kuna tatizo Moja.. Wanafunzi wengi wanaomaliza UDSM wamefaulu MITIHANI ila elimu ya Kweli Ziro.. sasa Ni wakati kwa watanzania kusoma na Kulenga kuwa wasomi wenye ELIMU na sio VYETI.
    Kila la Kheri wadau.

    ReplyDelete
  3. Nilopokuwa chuo siku moja nilimwambia lecturer tunahitaji break kujianda na paper.lecturer alinijibu "forget about exams the most important thing is practical knowledge".Je hawa jamaa zetu wanao maliza mlimani kwa kweli bado sijapata jawabu michuzi nikimaanisha elimu ya kweli.

    ReplyDelete
  4. Bila shaka hawa ni wahitimu wa Master of Arts in Economics ya UDSM, kwanza napenda kuwapongeza kwa kazi nzito, pili napenda kuwapongeza kwani najua wote mpo kazini. Tumieni taaluma yenu vizuri kwani uchumi wa wa nchi unadidimia. NO MORE 'ROMER'

    ReplyDelete
  5. Bravo M.A. Economics (2007)

    ReplyDelete
  6. hi guys, congrats! dont forget the principles of lacour economics....the labour market has free entry and exit and the worst scenario is information asymetric

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...