
jj blue pamoja na ruaha vimefungwa hivi karibuni kwa sababu zisizojulikana na lady jd na bendi yake ya machozi wamehamia chinese club iliyoko barabara ya bagamoyo rodi kiasi cha gia mbili hivi upande wa kulia ukiwa unatokea morocco. wadau kibao waliofika hapo kwa shoo ya kwanza ya kila ijumaa wamepasifia sana mahala hapo wakisema ni penye ubora na nafasi nzuri zaidi
HUYU MAMA KUSHOTO KUVAA UCHI NDIYO NINI?
ReplyDeleteukiambiwa msanii au super star ndiyo utembeeee uchi??????
ReplyDeleteunatofauti gani na MALAYA
ANAYEUZA UCHI
Chinese Club mbona hatuoni Wachina?
ReplyDeleteSio kila wafanyacho maselebriti wa huku Ni cha kuigwa jamani.. hivi we dada huna kaka dada na wajomba.. tukiacha mbali wazazi.. kama huwaonei haya hao.. utamuoneaje HAYA MUNGU WAKO>. Amka mama.. kuvaa huko sio wala nini.. halaf kwa Taarifa yako utaishia kutembea na wakware tu... ila hutopata mwanaume decent hata siku Moja... kwani Sisi hatufagilii wala nini shorty wangu awe anaonwa na kila mtu alivyo.. Duh.. hii kweli utumwa wa akili.
ReplyDeleteWe haya wee..
Mkandamizaji mwandamizi.
wewe mwanamke uliyekaa uchi ndiyo uliyeharibu picha hii ya hapo juu
ReplyDeletewenzako wote wanapendeza isipokuwa wewe sijui umekosa nini hata utembee uchi
jee una ugonvi na wazee wako
pengine wamekukosea
na wewe ndiyo unawalipa ila kama baya lolote litakurejea mwenyewe na siyo wazee wako
kila lakheri mwenyezi mungu atakusaidia
Jamani mbona mnamsema vibaya huyo dada, kwani kosa gani kafanya kama angekuwa uchi basi asingefika hapo alipo kula raha.Tatizo ndugu zangu muna mifadhahiko ya akili ndio maana mumepei attenisheni kwa huyo kwini halafu muna sahau kama Bongo kuna joto sana.
ReplyDeleteBaba kwenye picha.....MKE WA MTU! baba!!....huyo mchukulie kama NYOKA MWENYE SUMU KALI....uzungu gani huo wewe!!! hapo ukikaguliwa utakutwa mambo hayajakaa sawa....shauri lako...halafu umepiga naye picha zaidi ya moja...SHAURI YAKO!!....ushakumbana na neno "manslaughter"....haya endelea na kasi hiyo hiyo.
ReplyDelete