Brother michuzi,

Naomba unisaidie kumtafuta rafiki yangu IDDI MBARAKA hatujaonana tangu tukiwa NYERERE Sekondari, Lembeni, Mwanga toka mwaka 2002. Naomba anitafute kupitia simu yangu ya mkononi No. 0717 965942 au email paulkabewa@gmail.com

Ahsante mkuu,
Paul.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Iddi mbaraka sialipita mwezi uliopita!?
    Paul Msubiri Idd mwaka wa kesho

    ReplyDelete
  2. Unajua wa2 wengine ni wehu eeeh!!! Sa we anony hapo juu unajua kabisa bro Michuzi alikua na sababu kibao za kutuwekea hii blog, mojawapo ikiwa kuwacliana na ndugu,jamaa,na marafiki tuliopoteana cku nyingi...afu we unaweka utumbo wako humu!!! shame on u....

    ReplyDelete
  3. Wajinga kama huyo bwege hapo juu ndio wanafanya watu wasijihusishe na web hii!! mshikaji anamtafuta ndugu yake sasa wewe mavi yamekubana na kuandika kitu kama hii ya kijinga eti idd kapita who cares and give a fuck!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...