mchezo kati ya timu ya taifa ya bara, kilimanjaro staaz na ya zambia, chipolopolo, inaendelea hivi sasa neshno hapa dar na staaz inaongoza kwa bao 1-0 lililowekwa kimiani na mchezaji chipukizi mike chuma katika dakika ya pili ya mchezo kipindi cha kwanza
Home
Unlabelled
kili staaz v/s chipolopolo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


kudadadek...kidogo inatia moyo, ila hujatuambia km vijana wamepiga samba au ndo bado kichwa cha mwendawazimu style!!! weka uchi Michuzi
ReplyDelete