KAGERA DEI USIKU KUAMKIA LEO AMBAPO WAZIRI MKUU EL ALIKUWA MGENI RASMI ILIFANA SANA. MILIONI 100 ZILIKUSANYWA HAPO HAPO UKUMBINI DIAMOND JUBILEE NA PAMOJA AHADI ZILIKUSANYWA BILIONI 1.4 AMBAYO NI REKODI KATIKA MICHANGO YA KUSAIDIA MAENDELEO YA MIKOA. DAR ILIKUSANYA MILIONI 700 KWENYE MFUKO WA CHANGIA ELIMU
Home
Unlabelled
KAGERA DEI YAFANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana wanakagera, mmeonyesha ushirikiano mzuri sana ambao unatakiwa ufatwe na watu wa mikoa mingine.
ReplyDeleteMara zote wana-Kagera wanakuwa hawana masihara hata kidogo katika mambo ya elimu-nawapongezeni sana kwa hilo, na ni mfano wa kuigwa na baadhi ya mikoa mingine inayoona elimu kama kituo cha Polisi!
ReplyDelete