Home
Unlabelled
kihamba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watanzania tusipokuwa makini kutunza vitu vyetu vizuri vya asili kama hivi, basi huenda next generation watakuwa wanaweza kuona vitu kama hivi MAKUMBUSHO YA TAIFA. Mimi natoa big-up kwa mdau aliyetuma kitu hicho! Kaka Freddy Macha mwangalie huyu mdau wetu. Ahsanteee.
ReplyDeleteKuna hiyo aliyosema juu Bwana Mfichajina, halafu kuna ile Wachagga wanayoita "fulu-suti"...unajua maana yake? Turudi nyuma enzi zile za mwanzo mwanzo wa Ujamaa. Enzi zile ukivaa suti unaitwa mkoloni. Wadau mgombani (mashambani) wakawa na hizo nyumba ambazo ni suti. Unaona mgongano na mfurukutano hapo? Yaani unanitakaza kuvaa suti lakini nyumba yangu ni "fulu suti": majani toka juu hadi chini. Anayeweza kutusaidia zaidi hoja hii ni Mwafrika Merinyo ambaye katokea katika blogu la Majjid Mjengwa miezi kadhaa iliyopita akitambikia hizi nyumba. Merinyo ni mpiganiaji mkubwa sana wa makumbusho yetu.
ReplyDeleteNa uzuri mwingine wa hizi "fulu suti" nini unajua? Huvuti bangi maana utaunguza nyumba. Ndiyo maana Wachagga wamebakia na mbege tu...
Tuache utani. Michuzi umecheza hapa.
NDIO, HII SUTI ILIYOKAMILIKA INAHITAJI MATUNZO, HICHO KIHAMBA ASIUZIWE MWEKEZAJI ILI AJENGE GHOROFA.
ReplyDeleteGood Job!Thats absolutely something to be proud of!Big up from Toronto mdau.
ReplyDelete