ketura kihongozi akionesha funguo za baluni alizopewa baada ya kuibuka malkia wa ngwasuma 2007 usiku wa kumkia leo ukumbi wa diamond jubilee holi. kwa habari na picha zingine nenda www.bongocelebrity.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Yule namba 4 au Halima Bonge mmoja wao wangeshinda lakini huyu, mmmmhh?!!! Halafu nasikia aliyetoa baluni ni shemeji yake........????!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...