awapo nje ya steji mnenguaji nyota wa twanga pepeta aisha madinda ni mama wa nyumbani kama walivyo mama zetu wengine

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hivi hizi geti ni za kutulinda kweliiii au urembo tu. Kwani majambawazi wakitaka hawajina mikasi mikuubwa ya kukata hizo kufuli na bawaba? Na ukiwapigia sim polisi utazani wao ndio walikuwa majambazi manake watashoo apu kama sio usubui yake ni baada ya si chini ya masaa 2

    ReplyDelete
  2. Mama wa Nyumbani eeeeeeeeeeeeeh baba!!! lol

    ReplyDelete
  3. Huyu mama ni mtamu jamani co masihara!!! namtamani we acha tu. Michuzi eeh...kwani ana mdogo wake wa age ya 20s?

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi nimepata kutoka Redio mbao kuwa Aisha na Fikiri Madinda (Mai hasbendi wake) hawako pamoja anymore ni kweli au?

    ReplyDelete
  5. Umeolewa Aisha? sio vibaya kuuliza.

    ReplyDelete
  6. He michuzi kama ngasuma inalipa no problema iwe mama wa nyumbani au wa mtaani ....bora mkono uingie kinywani...tumia kipaji mungu alichokupa

    ReplyDelete
  7. amenenepa sana sasa hivi ,Aisha jitahidi kupunguza nyama za mikono
    imekua minene sana ingawa unacheza vizuri
    asante

    ReplyDelete
  8. usijipunguze mwaya,wanakuonea wivu,mwanamke hipsi babu,msituletee uzungu.Big up sister,you are atrue woman.

    ReplyDelete
  9. Aisha mamaa, usiwasikilize wabeba mabox....daima mwana mama mahips, na kumeremeta kama ulivyo. Nakutafuta kweli hapa Bongo, huko wapi wewe?

    ReplyDelete
  10. Nimependa sana alivyo vaa kama mama wa kitanzania asilia akiwa nyumbani sio vile vipunga ushuzi anavyo vaa akiwa stejini safi sana dada keep it utunze familia yako na umri ukigota kupanda stjini ufanye shughuli nyingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...