Home
Unlabelled
miss tz 2006
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi na mamiss wako????
ReplyDeleteHebu tuambie basi ...anzia nyuma...kila mmoja yupo wapi na ni mafanikio gani aliyapata katika kugombea hayo mambo. Ili tulio wadogo tuone umuhimu...
Just roll back almost 13 years sio mbali utawapata wote. Kutuonyesha walivyokua haitasaidia ...tuonyeshe hii kitu imewasaidia nini....na wako wapi sasa hivi?
Labda nikimwonyesha mama hiyo ataniruhusu na mimi kuingia kwenye haya mashindano.
Tanzania tupo wengi tunaweza kushiriki na kufika mabali lakini wazazi wetu hawatukubali kuingia hizi bado hawajawa convienced.
she is fat na tumbo lake kubwa
ReplyDeletenajua ni unpopular opinion lakini mashavu yake nayo noma
michuu!!!hawa mamiss mafanikio makubwa wanayo pata ni kujulika(na sifa kem kem)kwa baathi ya watanzania haswa wale wanao ishi mijini,lakini wenyewe wanakuwa bure!!sana utasikia miss anafanya mapenzi na#%$#$%% kila mwaka na wanaume tofauti!!mpaka mda unakwesha!!uyo alie enda china nae amna kitu!!SHOPPING YAKE MWESHO LEO!!NADHANI HATA YEYE NAE ATAKUWA KAWAONA MAMISS UKO!!UMISS SIO MCHEZO JAMANI ETI KISA MDOSI!!HAPATI NG"O!!!??
ReplyDeleteDIRTYCASH~~~
Hivi wewe anon Dec 1 12.32 am
ReplyDeleteunaakili kweli? mimi nawasiwasi wewe no mgonjwa ..!!! loh !!!
wewe unataka huyo dada awe fimbo jamani mbona mnakua brain washed hivyo yaani hao wazungu wamekukaa kichwani sana wewe ?
yaani huyo dada hapo juu anatumbo ?
mbona wengine hatulioni?
hana unene wowote anaafya njema tu and she is beautiful nani kakuambia wembamba ndio uzuri?
na hauoni sikuhizi wazungu wanafanya plastic Surgery za kuongeza vikalio na maziwa wee uko dunia gani?
mkulima mkubwa wewe.. bonge ya mshamba !#$!%#$%%#
get a life
wewe anno wa 12:32 una wivu na wema tumbo kubwa liko wapi? check umbo limetulia kichizi...acha hizo sifa zake mpeni jamani avutilia balaaaaaa.
ReplyDeletewema njoo marekani nikuoe basi na wewe michuzi tuwasiliane kifuta jasho kipo ukifanya kazi vizuri ya ushenga
ReplyDeleteHehehe aje aolewe na mbeba box? kwa hiyo utamfundisha na yeye awe anabeba box? si utamkomaza mtoto wa watu muache bwana aolewe huko huko Tz na mamenegers azidi kulainika mtoto wa watu.heeeee
ReplyDeleteNa kweli avutia mtoto wa watu nilikuwa naye pale mabibo mwaka jana du sio mchezo jamaan ni mzuri mtoto wa kike paja paja yaan na hilo shep usiseme aafu ninachompendea ni kwamba yaan atleast ana degree safi sana hivyo ndio tunapenda bwana sio kuuza sura tu aafu shule zinawashinda shauri yenu kina flan.
ReplyDeleteWeeeeeee anon wa 11:00, usitudanganye, WEMA DEGREE KAIPATA LINI??
ReplyDeletewema i really like siunce i saw ur 1st movie on rwandese tv , i really like you and voice da nice one in tz , and i use to make a long discusion on you beatifull face,caracters and many others, just keep it up take care of you face you still the one and one
ReplyDelete