
novemba 18, 1995: siku moja kabla hatujamwapisha mh. benjamin mkapa kuwa rais wa awamu ya tatu uwanja wa taaifa wa neshno. kulia ni moshy kiyungi wa the guardian, kabendera shinani wa bbc (marehemu) na mie mbangaizaji. siku kama hii lazima mje siku moja kabla kula tizi na kuangalia namna ya kukaa kupata snepu nzuri
Aisee watu tumetoka mbali enh?
ReplyDeleteMichuzi mwenyewe ulikuwa mshamba-mshamba hapo! Mambo ya "Tumetoka kwetu Maheeenge, Tumekuja Darisalama ..."
kaka misupu, enzi hizo ulikuwa hujaanza kula "bata wa interchick" nini..maana unaoneka umefyodo kidogo...ila hata husingesema mwaka tungeelewa maana huyo moshy alivyovalia kizamani, tai ndeeefu yenye maua mengi na suruali nyekunduuuuu....ahahaha...flash back
ReplyDeleteNakuaminia kaka michu..mambo umeyaanza zamani na kumbu kumbu unazo.. mdau Holland
ReplyDeleteTayari ulikuwa umeshapata my wife wako hapo kaka michuzi
ReplyDeleteAlikuwa yuko kwenye riheso jamani sasa avae nguo za sikukuu kwenye riheso? Nyie hamjui maana ya riheso nini?
ReplyDeleteHalafu Michuzi hapo alikuwa fiti, sio kama sasa amenenepaa na umri nao lakini fanya mazoezi mshikaji si unajua siku hizi kuna kisukari na magonjwa ya moyo ambayo zamani tulikuwa tunayasikia kwa wazungu kwa sababu ya diet yetu ya dagaa mchicha, tembele, bamia na dona lako mwanawane utapate magonjwa ya dayati kama kisugar na mengineyo!
Michuzi kumbe hendisam weye
ReplyDeleteyaani umetoka mchicha sana kwenye picha hii
Nimekuzimia ile mbaya duh !!
ulikua mzuri !!!!
taratibu kaka utavunja ndoa zetu.