Michuzi,


Huyu jamaa nilimnasa hapa London Eye akipiga gitaa kwa staili hii. Ukipendezwa unamtuza hela. Ni aina ya ombaomba wa kisanii...


- Mdau Habibu Mponezya.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. FEDHA FEDHEHA!

    ReplyDelete
  2. HUJAFA,HUJAUMBIKA. MTAKA CHA UVUNGUNI......NANYANYUA MATANDA

    ReplyDelete
  3. Habibu salam zako mwana Ilboru.Endelea kukamua TRA.

    ReplyDelete
  4. nackia huyo ni mshkaji wa bongo...mambo yamekua magumu imebidi atumie akili ya kuzaliwa ili angalau mkono uende kinywani!!!! hheheheeheeloooo, jamani c mrudi kwenu au nauli ndo patupu?!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...