Shoto ni mmoja kati ya viongozi wa Tanzania Professionals Network (TPN) akiwa na “Papaa Msofe” a.k.a Mwalla Ali maarufu sana maeneo ya katikati ya jiji la Dar Es Salaam.

Mwalla amesema yeye anapenda awezeshwe na kuwa Mjasiliamali Halisi badala ya “Shughuli zake za sasa” ambazo hazina Tija zaidi ya kufukuzana na askari wa Jiji.

Hata hivyo alisema yeye akiwa na mkwanja hana noma. Huwa anagawa pesa kama njugu hasa mtu anapotaka kununuliwa chakula kwa mama lishe. Ni kutokana na moyo huu ndipo nakapata umaarufu wa kuitwa Papaa Msofe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. geologist nakukumbuka sana mlimani.unapenda sana PROFILE.Naona uko IT sasa.Ungekuwa sasa na mgodi wako ungefuata taaluma yako.U r very cunning.Papaa msofe fake hafai.Utakawa vipi hata mtaji.Anapenda SIFA TU.Kwa sasa hahitaji mtaji anahitaji shule ya financial management, zile decision 4 za Capital,liquidity, Investment na dividend.ni Mimi Management Dr

    ReplyDelete
  2. dah, kumbe mi mrefu kinoma!!!!

    ReplyDelete
  3. MR. michuzi!
    Mie naomba umweke papa msofe wa kweli tumuone

    ReplyDelete
  4. Geologist,mfundishe huyu kijeba jinsi ya kumanage finance hasa mtaji. Huwezi kula mtaji kwasababu ya sifa!sifa zinaua
    geologist una PL?lets go 4 mining,tumuajiri huyu njemba.sifa hazimfai
    let him learn entrepreneurship, anataka kuwezeshwa bure ! whats the consideration? vitu vya bure mjini hatari hasa kwa kidume
    geologist mpashe njemba

    ReplyDelete
  5. Nyie washikaji hapo juu acheni ushamba ktk society yoyote watu kama papaa msofe wapo na wanahitaji kusaidia papa msofe ni smart na mwaminifu ni mshikaji poa kishenzi acheni mineno yenu yenye kufanya papa ajisikie vibaya eti kijeba kijeba mama yako!!!

    ReplyDelete
  6. Michuzi,
    This is first time am real pissed off in this blog coz i posted ma comment and hell not u didnt post them,there wasnt any offensive language on it and yet u didnt post it.AM PISSED OFF TILL WHEN U POST THAT COMMENT NO MATTER WHAT

    ReplyDelete
  7. Acha kumzingua michuzi pia andika kiswahili kwani wewew ni mswahili if ur pissed of who care! no one give dam.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...