Home
Unlabelled
mvua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mama weeee, hii ndo ile design flani inakubidi umlipe huyo chochote then akuvushe hapo, DU, noma sana, kazi kwelikweli....mie nishavushwa mitaa ya Kimara huko miaka ya nyuma, nakumbuka nililipa 50, sijui kwa sasa bei, Michu vipi bei?
ReplyDeleteHuyu dada poa kweli kweli! Bahati nzuri keshaolewa (pete), lasivyo ningetuma posa.
ReplyDeletemtumee! huyo pota wa kwanza hasikii harufu ya mahanjumati, astakafurulah! du?
ReplyDeleteMichu, na wadau wengine. Maendeleo tungependa yafike maeneo haya na si city center kuwe na majijengo makubwa ya wanaijiita wawekezaji wakati fwedha zote zinaishia nje ya nchi. Hawa watu watapata lini maisha walau ya raha. Hata Compton na Watts ni ghetto ila hakuna this. holla
ReplyDeleteMboggo
Bongo ni New york!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete"BONGO TAMBARARE!!"--kungekuwa na vilima kidogo hayo maji yangetiririka!!
ReplyDeleteHUU NI UPUUZI MTU KWANI KUNATOFAUTI GANI MPAKA MWANAMKE AWEZE KUVUKA MWAUNAUME AWEZE KUJIENDEKEZA HUKOO
ReplyDeleteBongo maisha tambarare
ReplyDeletePesa nzuri ila ndugu yangu pota wa kwanza angalia shigo kama haikuchubuka kwa asidi itapata mikwaruzo!!!ha ha haa na kaarufu kwa mbaliii
ReplyDeletembabano huo ukikutana na Richard Big Bro huponi!!
ReplyDeleteKwaraha zangu, nipisheni mie nivushwe , tena msinitingishe.
ReplyDeleteHivyo viharufu ndio mnavitafutaga kwa gharama yoyote kwahiyo nyamazeni
ReplyDeleteJamani labda mimi nipo nyuma sana kwa kuelewa,hiyo harufu inayoongelewa ni harufu gani!! manake tuwe wawazi ama kwa sabau dada kabeba box,manake nikibebaga box huku ndiyo hutoka mijasho kibao kuliko ninavyoviosha vikongwe.
ReplyDeleteYAANI MICHUZI NI KIBOKO YA BLOG ZOTE, MAANA HAPA WALIVYOBEBWA HAO WATU KAMA PALE MOSHI - KIYUNGI KWENYE MTO RUKARANGA WAKATI UKIFURIKA, HUWEZI KUPITA MPAKA UVUSHWE. SIJUI WAMABONDENI WAKOJE, NAHISI KAMA WAMESHASOMBWA NA MAJI TANGU JUZI.
ReplyDeleteWE DADA NDO NINI KA TOTO DOGO! KUBWA ZIMA HOVYOO!" JE UNGEKUWA KWENYE HEDHI UNGEBEBWA HIVYO WE, SIAMINI KAMA UNA MME WAKO WA NDOA ANAKUONA UNABEBWA HIVYO, ACHA UTOTO! IGA MFANO WA MWENZIO NYUMA YAKO ANGALAU>
ReplyDeleteTHIS IS CRAZY, BICHWA KUBWA AKILI FINYU.
Haya ndio mambo tunayotaka kuona kaka Michuzi, sio Richard, Richard, Richard,...weee!!! Kah! Mimi nina "Onslow" sasa.
ReplyDeleteBongo yetu ina mafuriko, na masweeming poll kila kona, ebu tuonyeshe zaidi bwana, tujue ezembe wa maboss zetu una rangi gani.
Dada angu hebu jikaze maji siyo marefu hiyo harufu ya kipapa na king'onda ng'onda usimnukishe mwenzio bwana!!
ReplyDeleteNyie mnasema viarufu wake zenu wanaviarufu nini? hebu toeni hizo....kwa vile mwanamke kabebwa shingoni kiarufu kama awewe ni mwanamke uliyetoa hiyo comment basi wewe ni mwanamke mchafu sana na kama ni mwanaume basi wewe na mkeo wachafu sana....ni mama yako angekua anarushwa hapo ungejisikiaje watu wakisema viarufu...mkuage...na mjue watu wanaoonyeshwa humu ni watu kama nyinyi...
ReplyDeleteAny wa 11.27,bBora uwapashe, maana akionyeshwa mwanamke kwenye blogu hii ama ni mbaya, ama anasemwa yuko hivi ama yuko vile, ama ananuka! Ama watu kwa visa, hawajambo.
ReplyDeleteIla kitu kimoja wanasahau unapomtukana mwanamke yeyote yule ni sawa tu na kumtukana mzazi wako wa kike kwa sababu huyo mwanamke ni mzazi wa mwenzio. Hapa nimeacha kusema ni sawa na kumtukana mkeo kwa sababu wako watu wanaowatukana wake zao pia kwa hiyo isingekuwa na maana nikiwaunganisha hapa.
Hivi mtu unavyosema mtu angevuka mwenyewe hayo maji, wewe kama ni mwanamke ungevuka? Na hayo maji yanaonekana yamepita juu ya magoti je angevukaje hapo na kama angevuka nguo angekwida au angeziacha, na kama angeziacha zikaloa mpaka kupita juu sana ya magoti huko anakoenda kungeendeka?
Mpaka ukiwa umeingia kwenye mtandao na kuitafuta blogu hii lazima utakuwa na upeo na ufahamu, sasa na uchangiaji wetu uonyeshe upeo na ufahamu wetu, kukaa kwetu Ulaya, Osterbay, Amerika au Asia kusitufanye hatujui hali halisi ya kwetu na hasa mvua zinaponyesha. Hata ukibadili uraia ukawa Mwingereza au Mwamerika Identity yako itabaki ile ile na kwenu kutabaki kule kule ndio kunako asili yako. Na hata kama mchangiaji ni wa huko Bongo basi asijitie hajui hali halisi.
Lengo ni kujenga si kubomoa! Kutukana watu wa watu msiowajui hakuwafanyi muwe wajuvi au wastaarabu.
Nawakilisha.
HEE!! HATA MMACHINGA AMEKODI YATCH! HII ULAYA NI KWA MATAJIRI TUU. wabongo kweli tumeendelea.
ReplyDeleteNAONA DADA HUYO AMEPATA LIFT YA KUBEBWA MABEGANI NA AMEIFURAHIA KWANINI ASINGE TAFUTA MSICHANA WENZAKE AMVUKISHE KULIKO HUYO JAMAA HAPO MAANA MAMBO FULANI JAMAA ANAYAGUSAGUSA.BAADAYE ITAKUAJE!!KAKA MICHUZI WASHAURI HAO WABONGO WENZETU HUKO HOME WATAFUTE NJIA MBADALA BABDALA HIYO YA KUTAMANISHANA.
ReplyDelete