Home
Unlabelled
mwisho wa reli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SASA HIYO NI MAIN ROAD YA KUUNGANISHA MIKOA!!JAMANI UJINGA UMETUZIDI SANA!
ReplyDeleteHalafu unasikia mtu anasema "siku hizi bongo mambo safi kabisa"! Nadhani 70% ya wabongo hii ndio hali halisi ya maisha yao. Kazi bado ipo.
ReplyDeleteBongo tambarare.Kelele za nini???
ReplyDeleteYaani Issa thanks much. Hapo ni home kwetu. Ngoja tujipange upya tuje kusaidia juhudi za kupakomboa! Home sweet home jamani!
ReplyDeleteKumbe wa kigoma mdomo wote ule kumbe kwao hata barabara hamna
ReplyDeleteHivi mbona magari yanpishana upande tofauti na dar
ish, jamani mlikuwa hamjui kigoma wana 'keep right?!'
ReplyDeleteYou must be kidding! hii ni Tanzania pia?
ReplyDeleteOh God we have a long way to go.
Ndio maana wakamchagua Zitto Kabwe, yaani huko ndio kisiginoni cha Tanzania
ReplyDeleteJamani nyie mnaojua Dar na A-town hii ndio hali ya Bongo kwa sehemu kubwa. Yaani bora hawa wa Kigoma hata mabasi yanafika. Kuna vijiji huko mfano Umalila (Mbeya) na Lupembe Lwa Senga (Iringa) ni balaa tupu
ReplyDeleteCCM hao !!
ReplyDeleteKigumu Chama Cha Mapinduzi.
ReplyDelete