vijana wengi wa zamani mtamkumbuka omari naliene wa tatu nane kwa umahiri wake wa kupuliza filimbi hata kwa pua

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. eeheeh.. huyo jamaa yuko wapi?

    ReplyDelete
  2. Richa Adhia tungempa utaalam huu nauhakika angeshinda taji la vipaji...hatujachelewa bado!!! tuvitumie hivi vipaji!!!!

    ReplyDelete
  3. Huyu bwana kama sikosei alifariki duni bwana Michuzi naomba utusaidie ila kwa hadidu za rejea nilizonazo wengi wa wanamuziki wa kundi hili hatunao tena.
    Waliotanglia mbele za haki Mungu awarehemu.

    ReplyDelete
  4. DUH JAMAA MCHAFU KICHIZI, NO HYGIENE!

    ReplyDelete
  5. WE ANONY WA NOV 18
    ANGALIA NATIONA GEOGRAPHIC CHANNEL KUNA KIPINDI KINAITWA DIRTY JOB.
    HALAFU URUDI KWENYE COMMENT YAKO EBOOO!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...