Home
Unlabelled
nondozzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ooooh ...hongera sana Neema kwa kufuta nondo nzito toka YorkU!
ReplyDeleteSawa sawa: "In order to reach the high shelves, we have to stand on the books we have read..."
From the Peace Tower, Ottawa
Shem hongera sana!
ReplyDeletehongera sana sister Neema.hivi sister umeolewa?maana natafuta mke ndugu yangu.
ReplyDeleteCongratullazzion Neema.
ReplyDeleteJ.D, Houston TX.
We anon 10:39 kwa taarifa yako Neema ni mke wa mtu. Hivi nyie watu wengine vipi? utamuombaje mtu umuoe kwa kumuona tu kwenye picha.
ReplyDeleteSasa wewe anonymous 10:30 kila mwanamke anae graduate unataka awe mkeo, wa UK pia uliulizia, ndugu pole sana wake hawapatikani namna hiyo! Huyu Binti AMEOLEWA NDOA TAKATIFU AZANIA FRONT SEPTEMBER 2007. Ni Mke wa rafiki yangu.
ReplyDeleteHongera Neema Julia!
ReplyDeleteHouston Tx!
Hongera sana Neema,
ReplyDeleteMaganga Mabula,
Bukene-Nzega
Congrats cousin, Keep it real!
ReplyDeleteWewe anon 10:39 unaetafuta mke kwenye blog ya Michu, nani alikudanganya wake wanapatikana namna hiyo? na kama hujui jinsi ya kupata mke ukimpata huyo mke mtadumu kweli? Nakushauri wasiliana na watu wanaolewa maana ya mke na ndoa ujifunze.
Upanga,
Dar.
Sasa kosa liko wapi? kuuliza kama ameolewa au la,hakuna kosa yeye anatufuta mke aliye soma.Mwacheni ajaribu bahati yake.Hajakosea lolote hapa.Huku ulaya watu wanaulizana straight,are you married?, yes or no, wengine wanasama yes, but Iam not happy,upo hapa kitakacho fuata hapo usiniulize Mimi.
ReplyDeleteHivi ile sheria ya kuzipima hizi nondo za nje kama ni za kweli inaanza lini? sababu hizi nondo za nje bwana usiziami hata kidogo,kuna final exams za take home and bring tomorrow.Nondo za kweli ziko bongo bwana mtu una suffer hasa, mitihani ya kustukiza hakuna warning mwanangu. mtu ukigraduate unatoa machozi. Hizo ndiyo nondo za kweli si hizi za marekani na kananda hakuna chochote majoho tu,
ReplyDeleteKarumekenge kawaulize makampuni ya Kigeni hapo Bongo huwa wanaajiri wanafunzi wengi waliosoma Bongo au Ughaibuni?? Hapo utapata jibu elimu ya wapi ni bora.
ReplyDeletekuna FT world rank za university....dar univrsity ni ya ngapi? kasome vitabu vya mwaka 66, watu wanaendelea na technology!
ReplyDeleteKarumekenge,
ReplyDeleteKwanza inaelekea unakawivu na chuki na watu waliosoma nje. Watu wanampongeza Neema, wewe unaleta roho mbaya wakati unajua dada yetu amemaliza shule.
Pili, hizo shule zenu mchosho tu hata kimombo hamkijui na mkipewa kazi mnavurunda. Rais wenu na Nchimbi ni mifano tosha.
Sisi tupo huku mzuu tunapiga kitabu na tunaendelea na maisha. We ulie tu...
Hivi wewe karunekenge at 10:08 pm
ReplyDeletembona una wivu hivyo ?
badala ya kusapoti watu wanaofanya vizuri kimaisha wewe unakandia oh sijui bongo degree sijui kusoma kwa shida !!! loh unatia aibu, hiyo hiyo digree yako ya bongo ukitoka tu nje ya nchi kidogo haitambuliki japo ulilia machozi kwenye giraduesheni yako.
yaani shida yako ni uone analia machozi akipokea cheti au?
nenda zako wewe mshamba mkubwa wewe
Hongera sana Neema endelea kuonyesha mfano mzuri kwa vijana.
mijitu mingine bwana !$#&%&*
nami nampongeza dada Neema kwa kula Nondos, lakini jamani Karumekenge, mnamshambulia buree, mimi nakaa huku europe, kweli jamani huku ughaibuni kuna some Nondos hazieleweki, zimetokea kwenye vitaasisi vya ajabuajabu, ukilinganisha na za bongo, basi bora za bongo,,sometimes.Msimshambulie sana, ana POINT.
ReplyDeleteKaumekenge umekosea hapa sio mahala pake inabidi umuombe radhi dada Neema.
ReplyDeleteHiyo mada ina mahala pake nakubaliana na wewe kabisa inabidi tumuombe bwana Michuzi siku moja ailete mezani, kwa sababu ina ukweli ndani yake. Na Chuo cha DSM sio kama hivyo ambavyo mnakikandia nyie mnaosoma nje, kinaheshimika na kina heshima yake ingawa kiko kwa wamaskini. Najua mmekasirika kwa kuwa mada hii ameileta kwenye Graduation ya Neema na si nyinginezo ambazo tumeona kwenye globu hii.
Pamwe na kusema hayo dad Neema hongera sana kwa kupata Nondos yako huko Canada.
Na nataka niwaambie jamani hata ukiwa wapi shule ni shule tu ina ugumu wake, lakini kwa wenzetu unafuu unakuja kwa sababu kuna facilities za kutosha ila hakuna kudesa. Hongera tena dada.
ok! dada hongela sana na kanondo kako,lakini utapa kazi kweli bongo au! sababu hawahitaji watu kama hao.tetetete hahaha, umepoteza muda wako bure !
ReplyDeleteBREAKING NEWWWWWWS!
ReplyDeleteKUANZIA DESEMBA MOSI MWAKA HUU WENYE NONDO ZOTE ZA NJE ITABIDI WAENDE 'PREMINARY TEST' KATIKA CHUO KIKUU CHA CHANG'OMBE ILI KUZIPIMA NONDO ZAO KAMA ZINA FAA, HAPO WAKAPATE MITIHANI YA KUSHUTUKIZA, TUONE HIZO NONDO KAMA ZITAHIMILI.
YAANI Wajomba Mnausongoo?nimeuliza tu jamani, wala huyo wa uk sijauliza mimi au nimekose kuuliza?ndio maana munafumaniwa na wake za watu,inabidi uulize kwanza sio kupapara tu.any way sister hongera sana na mungu akujalie, take care.
ReplyDeletewajomba acheni wivu,"KUULIZA SI UJINGA TEBEA UJIONEE ndugu yangu"
Kalumekenge yaani jina lako ni sawa na mwenyewe, wewe unamuuliza huyu dada kuwa atafanya wapi kazi, oh akirudi Tz Kwanza wewe hayo yanakuhusu nini?
ReplyDeleteHivi wewe pamoja na kuwa na Tribunal Arusha na sehemu mbalimbali duniani, hivi unaelewa nini kinafanyika mpaka kufikia hapo au unafikiri ni MGAMBO WANAAMKA ASUBUHI NA KWENDA KUKAMAKATA? Ha~ha ~tehe tehe
Wewe siku zote unapangiwa bei ya KAHAWA, KOROSHO, KATANI n.k. na wazungu ila ukitaka kununua gari wanakupa bei yao WEWE KWA VILE NI KALUMEKENGE UNAONA SAWA SIO?
Hivi wewe unaelewa ni kwanini mzungu akupangie kuwa hela yako ya kitanzania iwe ndogo kuliko ya kwake? OF COURSE KALUMEKENGE HAJUI.....
Je unafahamu lolote kuhusu Amnesty Int,Human Rights Commision,UNHCR,UNIFEM,UNAIDS
Kalumekenge haya haya mabo huyajui ongeza upeo upo nyuma sana nadhani unajua kulia tuu desa likikubali!
Hivi una idea Yeyote kuhusu human Social justice and Human rights?
Wewe kalumekenge, Acha kutuabisha! unamuuliza huyu dada atafanya kazi gani..?!!!!
ReplyDeleteHivi wewe unaelewa maana ya Social justice? Au kingereza chako inabidi ulie ukiweza kusoma neno moja?
Bwana mdogo hii field ni pana sana, tafuta on line maana yake ni nini Acha kutuaibisha!
Arusha
Karumekenge kweli mawazo na upeo wako ni mfupi sana! sidhani kama ameshafunguka kimawazo.
ReplyDeleteHuyu dada naweza kufanya kazi popote duniani licha ya Tanzania.
Hivi wewe unajua lolote kuhusu mambo yanayoendelea kwenye dunia ya leo?
Inaelekea shule uliyokwenda ulidisco nina hakika haujamaliza, hata mtu wa form six hawezi kuwa na upeo mdogo namna hii!
Mdau
Geneva
kwenda zenu,akafanye world tribunal ya wapi? Rwanda, Burundi ambayo sasa hivi inaitwa the most Luxury tribunal ever seen in the world. hawahitaji mtu pale, yeye cha kufanye avue Joho aliweke chini aamuke asubuhi sana kuwahi kuanza kazi za mabox yenu,kwa sababu hiyo ndiyo field ya watu wanao soma nje.Angalia hesabu hii; Vinondo+Vijoho=Mabox, tetete hahahahaaa kwikwikwikwi
ReplyDeleteKarumekenge, nimesoma comment zako zote ni negative! ACHA WIVU!! KAMA HAUJAPATA NAFASI YA KUJA HUKU KUSOMA POLE SANA. WIVU KWA WALIOHITIMU HAUTABADILI KITU!
ReplyDeleteInaelekea wewe ni limbukeni close minded type!Hebu leta nondo yako iliyokutoa machozi tuitume hapa tuone itakuwaje
http://www.cicic.ca/en/page.aspx?sortcode=2.17.22
Mdau
University of Alberta Canada.
neema poaa
ReplyDeleteTumaini acha wivu tunakufahamu!
ReplyDeleteJamani huyo karumekenge mbona ameshindwa kujibu swali la anon 6:20? hebu atujibu tena atoe data za ku-substatiate majibu yake kama kweli hiyo nondo yake iliyomtoa chozi HAKUDESA!
ReplyDeleteDah comment za huyo karumekenge kweli zimefanana nae mwenyewe!
ReplyDeletealiyempa hilo jina hajakose hata kidogo.Achanani nae huyu ni mjinga fulani msipoteze muda wenu
Mtanzania mwenzetu akifanya vizuri tunampongeza, haijalishi amemaliza chuo cha SONGEA au SWEEDEN. kwa nini unaona wivu sana kwa waliomaliza shule nje ya nchi? Mbona waliopo nje ya nchi hawaoni wivu kwa wanaomaliza huko na wanawapongeza? KIKOROSHO HICHO NA ROHO MBAYA! HASA KARUMEKENGE!
ReplyDeleteOyaa mimi nafikili washikaji mnapo hangaika na hilo tindiga Karumekenge mnapoteza muda ndio linataka hivyo kuwapagawisha watu. Hongera dada kwa kumaliza shule.Hilo kambungu linaandika kama linaharisha maneno! sishangai kuna washikaji kibao kazi yao ni kuongea mineno ya namna hiyo kwa nini jamani tusipongezane na kutakiana kila la kheri huu ujinga wetu wabongo wa kudhalauliana na kuandika mineno kama hiyo ndio inafanya wageni wanatupeleka kama mbuzi. Wewe karumenyoka au kenge hata kama umesoma mbinguni lakini ulichofanya wewe na huyo dada hakuna tofauti! udsm na uk university zote ni uni, nafikili kalumekenge ni mshamba na ana enjoy kuwapagawisha watu kama hivyo.Kirusi mkubwa huyo ambacho hakina dawa ongea point.Mjomba inaonekana hapo bongo hata hajui atakula nini? Kalubandika!acha wivu ambao hauna maana na kuongea misifa je waziri mkuu wako kasoma wapi wewe kirusi kwa taarifa yako ni Bath university. Jamani tujenge tabia ya kupongezana na sio kuharibiana siku na mnaacha waarabu na wahindi wanaanza kuichukua nchi ingali hawaujui uchungu wa bongo, lakini wanatumia mineno ya watu kama hilo tindiga karumenyoka.
ReplyDeletehawa wote wanakupotezea muda wako, weka joho chini,ficha hako ka nondo kako na kabebe box lako.
ReplyDeletekwisha hakuna cha world tirbunal au bujumbura.box box box+vinondo
wewe anon wa 2:12 naona umeongea ukweli huyu kalumenyoka ni anataka kuonekana na ni mapepe tu kaibuka tena!misifa na kudharau watu wa mtoni wewe utafia bongo ni wivu wa watu walioko mtoni hata kama maboksi poa lakini raha tunakula!
ReplyDeleteKarumekenge point zako hovyo kama wewe mwenyewe!Aibu zako kwanza tunakufahamu wewe tindiga haupo Tanzania! upo unabeba box kwa miaka mingi kweli ndo maana kinakuuma. shule imekushinda.
ReplyDelete