Shoto ni mmoja kati ya viongozi wa Tanzania Professionals Network (TPN) akiwa na “Papaa Msofe” a.k.a Mwalla Ali maarufu sana maeneo ya katikati ya jiji la Dar Es Salaam.
Mwalla amesema yeye anapenda awezeshwe na kuwa Mjasiliamali Halisi badala ya “Shughuli zake za sasa” ambazo hazina Tija zaidi ya kufukuzana na askari wa Jiji.
Hata hivyo alisema yeye akiwa na mkwanja hana noma. Huwa anagawa pesa kama njugu hasa mtu anapotaka kununuliwa chakula kwa mama lishe. Ni kutokana na moyo huu ndipo nakapata umaarufu wa kuitwa Papaa Msofe.

geologist nakukumbuka sana mlimani.unapenda sana PROFILE.Naona uko IT sasa.Ungekuwa sasa na mgodi wako ungefuata taaluma yako.U r very cunning.Papaa msofe fake hafai.Utakawa vipi hata mtaji.Anapenda SIFA TU.Kwa sasa hahitaji mtaji anahitaji shule ya financial management, zile decision 4 za Capital,liquidity, Investment na dividend.ni Mimi Management Dr
ReplyDeletedah, kumbe mi mrefu kinoma!!!!
ReplyDeleteMR. michuzi!
ReplyDeleteMie naomba umweke papa msofe wa kweli tumuone
Geologist,mfundishe huyu kijeba jinsi ya kumanage finance hasa mtaji. Huwezi kula mtaji kwasababu ya sifa!sifa zinaua
ReplyDeletegeologist una PL?lets go 4 mining,tumuajiri huyu njemba.sifa hazimfai
let him learn entrepreneurship, anataka kuwezeshwa bure ! whats the consideration? vitu vya bure mjini hatari hasa kwa kidume
geologist mpashe njemba
Nyie washikaji hapo juu acheni ushamba ktk society yoyote watu kama papaa msofe wapo na wanahitaji kusaidia papa msofe ni smart na mwaminifu ni mshikaji poa kishenzi acheni mineno yenu yenye kufanya papa ajisikie vibaya eti kijeba kijeba mama yako!!!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteThis is first time am real pissed off in this blog coz i posted ma comment and hell not u didnt post them,there wasnt any offensive language on it and yet u didnt post it.AM PISSED OFF TILL WHEN U POST THAT COMMENT NO MATTER WHAT
Acha kumzingua michuzi pia andika kiswahili kwani wewew ni mswahili if ur pissed of who care! no one give dam.
ReplyDelete