Home
Unlabelled
siku ya choo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bado tuasheherekea siku ya choo.Kweli Bongo New York maisha tambarare.Tunachimba dawa halafu tunalinganisha na Dunia ya kwanza.Bado iaka 100 ndio tutafika walipo wenzetu sasa.
ReplyDeleteKweli Tanzania tuko nyuma, hahahahaaa wakati wenzetu wanatumia mbinu gani mpya ya choo sisi bado tunahimiza kuwa na vyoo.
ReplyDeleteVyoo vyenyewe vya passport size ;-)
Wote hapo juu, akili zenu hazina akili...mmesahau kwamba hao walio na vyoo bora, walitutawala kwa zaidi ya miaka 300...na walifanya kila wawezalo kuona kuwa hatuendelei...sa mi cshangai kuona hali iko hivi, Yes we still hv a long way to go, rudini nyumbani tuijenge nchi yetu kwa pamoja!!! co mnacfia vya wenzenu 2...nyambaf!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletewadau mimi nina swali
ReplyDeleteHivi, hao wanaosemaga Bongo New York wanamaanisha nini?
huko NYK wameshafika?
Na huko NYK wana siku ya choo?
Embu tuache kujibaraguza hapa , we have a long way to go !!!
Jesus !!!
tafadhali sana ndugu zangu naombeni mnielimishe kidogo kuhusu hili
asanteni
Hicho kisingizio cha kutawaliwa miaka 300 kimekwisha wakati wake.Nchi kama Malaysia,Singapore zimepiga hatua kubwa kimaendeleo bika kutumia kisingizio cha kutawaliwa kwani zimepata uhuru miaka 40 tu iliyopita yaani baada ya sisi.Tuache longolongo na kupiga soga mabarazani.Maendeleo hayaji kwa visingizio na uvivu bali kw akuchapa kazi na uongozi bora.Kama kutawaliwa kwani sisi ndio wa kwanza???
ReplyDeleteCkiza bwa mdogo hapo juu, ishu ya kutawaliwa ina hold water vya kutosha!!! ok, hata km co sababu ya msingi...wewe km wewe umeisaidiaje nchi ako kuondokana na janga hili??? co mnaongea 2 km hamna vichwa vile...
ReplyDelete