dar panazidi kuwa tambarare. hapa panaitwa mbezi square, sio mbali sana na mbezi samaki wabichi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tuletee na picha za kijiji cha Nyashana au Magugu tulinganishe.kweli tambarare au Mwinuko mrefu tu.

    ReplyDelete
  2. Michuzi Michuzi mwenye jengo akisikia jengo lake umelipa jina tofauti mbona atapigana... Jengo linaitwa SHAMO PARK HOUSE liko pembeni ya Mbezi Squre

    ReplyDelete
  3. Asante sana michuzi kwa kunikumbusha mbali, mitaa hiyo ni karibu na kwa kina Peter Kasera...kipindi hicho tuko bweni Makongo, tukiwa pumbu (Hatuna hela) tulikuwa lazima twende kwao angalau tukapate buku ya kusukumia maisha...halla peter, wher are u now? marcomwenda@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...