Tuzo ya Ujasiliamali
Mmoja kati ya Wakurugenzi wa Emec Engineering Mr. John Sallu (Mzee Ndevu)akipokea cheti na tuzo ya Makampuni ya Wajasiliamali Wanataaluma waliofanyavizuri na ambao ni mfano wa kuigwa. http://www.emec.co.tz
Emec Engineering ambao wao hujiita vijana wa kijiweni, ni kampuni ya vijana Wanataaluma wanne ambao waliungana na kuacha ajira zao mara baada yakumaliza masomo yao ya chuo kikuu na kuanzisha kampuni yao katika miaka ya1998 huku wakiwa hawana mtaji wowote zaidi ya akili yao wenyewe. Chakufurahisha zaidi, hakuna mkopo wowote waliopata kuanza shughuli zao.
Leo hii Emec Engineering ni mmoja kati ya makampuni makubwa sana yakizalendo huku wakiwa na usajili wa ukandarasi wa daraja la kwanza katikashughuli za Umeme (Electrical) na Mawasiliano (Telecommunication) wakiwa naGross Turn Over katika biashara zao ya zaidi ya TZS Billion Moja kwa Mwaka.Wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi nyingi kubwa hapa Tanzania nahivyo kutoa upinzani mkubwa kwa makampuni ya kigeni na mengineyo makubwa.Pamoja na mafanikio hayo makubwa, vijana hawa hawajateteleka na wala kuwamaalimbukeni. Bado wanajiona watoto wa kijiweni na kuishi maisha ya kawaidasana huku wakijitanua katika shughuli zao.
Inawezekana katika Tanzania, Wanataaluma tukawa na mafanikio makubwa kamaEmec Engineering kama tu tutaungana na kutumia taaluma zetu vyema hukutukijifunza Ujasiliamali.
Pichani: Mzalendo John Sallu (Mzee Ndevu) Mmoja wa Wakurugenzi wa EmecEngineering akipokea Tuzo ya Kutambuliwa kutoka kwa Rais wa Mtandao waWanataaluma na Wasomi Tanzania (Tanzania Professionals Network - TPN)Mzalendo Sanctus Mtsimbe ambayo ni mahsusi kwa Makampuni ya Kizalendo yaWanataaluma yaliyofanya vizuri.
Pichani: Mzalendo John Sallu akipokea Cheti Mahsusi cha Kutambuliwa kutokakwa Rais wa Mtandao wa Wanataaluma na Wasomi Tanzania (TanzaniaProfessionals Network - TPN) Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
TPN inafaanya utaratibu wa kuwa na "Public Mentorship and InspirationalSeminar" itakayotolewa na Emec Engineering, Fulltime Security Services naJohn Ulanga ili kutoa changamoto kwa Wanataaluma wengine na kubadilishanauzoefu ili kuongeza chachu ya mafanikio. Semina hii inatarajiwa kufanyikamwanzoni mwa January 2008. Mawasiliano zaidi yatafanyika.

geologist umezidi,umetawala hii blog sasa. kila siku picha zako, tumechoka!!!tueleze criteria uliotumia kuwachagua hao kushinda tuzo zako, nani walikuwa majudge.Geologist twende kwenye migodi, gross turnover ya less them 1 million usd kwa watu 4 utaona ni mchezo...U R VERY CUNNING
ReplyDeleteMr Kidevu alikwisha ajiriwa NCR kwa miaka mingi kutokea 1991.sio kweli kuwa walianza biashara moja kwa moja
ReplyDeleteplease acheni uongo
Odinga, hoja iliyopo mbele si picha ya Geologist bali ni suala zima la kuwatambua Wajasiliamali Wanataaluma. Wajasiliamali hawa ni wanachama wa tpn (www.tpn.co.tz; www.tpn-tz.blospot.com) ambao kwa maoni ya Wanamtandao (TPN Members) wengi wamestaili kuwa mfano wa kuigwa. Kwa hiyo hakuna suala la ushindani wala majaji bali ni Kuwatambua katika juhudi walizozionyesha kwa kuzingatia historia yao, jinsi walivyofanikiwa na Gross Turnover.
ReplyDeleteNa hata Gross Turn Over ya TZS Billion Moja si kidogo kwa kampuni iliyoanzia chini kabisa na kwa mtaji wa akili tu.
Kuhusu Geologist kwenda kwenye migodi muandikie kupitia president@tpn.co.tz.
Njemba Fupi ni kweli Mzee Ndevu (Na si Mr Kidevu kama ulivyoandika) alikwisha ajiriwa NCR kwa miaka mingi kutokea 1991na kisha NBC ambako ndiko alikoachia kazi. Hata hivyo kama umesoma kwa makini imeelezwa wazi kuwa " . . . Wanataaluma wanne ambao waliungana na kuacha ajira zao mara baada yakumaliza masomo yao ya chuo kikuu na kuanzisha kampuni yao katika miaka ya1998 . . . . " Nadhani hoja ya msingi hapa ni kushirikiana na kufanya kazi kwa bidii. Ni vizuri kwa hili tukajifunza pia kutoka kwa Wenzetu Waasia ambao husaidiana sana kupitia katika Jumuiya zao, Misikiti na Jamatini katika kuwezeshana Kijasiliamali, Kipesa na hata Kimasoko. Tuifanye tpn kuwa Jamatini yetu.
geologist najisikia vibaya, naona nimekusakama sana...na ninakuwa kiasi sana personal.Nisamehe.nashukuru umesoma ujumbe wangu
ReplyDeletelakini
- tuwe innovative(& creative), tusiige mambo ya wahindi ya jamatin,ni mambo yaliopitwa na wakati.Tunia imekuwa global.Jamatin ina segregate watu
- uchaguzi ni lini,mimi nataka kugombea ukatibu mkuu.
- nasikitika sana kwa wewe kuacha kuanzisha BUNZWAGI(yenye good governance) na kuingia kuuza computer kitu ambacho huhitaji kuwa geologist ndio ufanye kazi hii.Wewe umefundishwa kutafiti na kugundua madini.Naona ni BIG MISSED OPPORTUNITY...Au porini usingeweza kuvaa SUTI zako?
geologist
ReplyDeletetukitaka kuwafikia na kupita wahindi tusiige mambo waliofanya miaka ya 70, 80 ya jamatin. Wahindi sasa wanafanya mambo sophiscated kama financial derivatives..futures,swaps etc.Najua utakuwa huelewi haya. We need to leap ahead of them. Let us be immovative and go with time.Mimi ni mzuri sana kwenye strategic finance, nitakupa way forward, umenitumia e-mail yako nashukuru. Please acha dhana ya IMITATION NA ADAPTATION, it becomes your worst enemy kwenye management
Geologist plse acha computer njo madini...ndio ulichosomea