mdau john mnamba alieko kutalii kaskazini mwa nchi katuletea snepu hizi za mwituni. hiyo ya juu anasema huyo jamaa alikorofishwa na kutaka kuibinjua gari hiyo, lakini dereva aliwahi kurudi rivasi vinginevyo ingekuwa hadithi ingine maana jamaa akiwa na tani takriban tano anaweza kubinjua hata mini basi halafu haondoki hapo pahala hadi kieleweke...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...