Bwana michuzi
CHRISTMAS VACATION
Napenda kuleta hoja yangu kusudi uchape kwenye blog yetu kuhusu hili suala kwenye mahakama kuu ya Tanzania pia mahakama ya rufaani kuna likizo ya Christmas vacation kutoka tarehe 15 dec mpaka 31 januari kunakuwa hakuna mahakama.hanabaki jaji mmoja tuu kwa ajili ya dharura na mahakama zinaanza tena tarehe 1/February.
Hii sheria iliwahusu sana wazungu kwa kuwa wakiondoka 15/12 wana siku kumi za kujiandaa na safari ya kwao ulaya kwa ajili ya kusherekea Christmas na familia zao.hii sheria iliwahusu majaji wa kizungu tuu ndiyo waliokuwa kwenye mahakama kuu.
Easter vacation
Hi ni wiki mbili majaji wanaenda likizo kwa ajili ya pasaka.muda wote huu mahakama zina kuwa zinafungwa.
Year leave
Hawa majaji pia wana likizo zao za kila mwaka siku 28 kama watumishi wengine wa serikali.
HITIMISHO
HII SHERIA HINATUSAIDIA NINI SISI WATANZANIA KWA SASA? KWANINI SERIKALI HAIBADILISHI HII SHERIA SERIKALI HAIONI HII SHERIA NI YA KIDINI? NAOMBA IFANYIWE KAZI HII SHERIA.IBADILISHWE HARAKA.HAINA MASLAHI WA TAIFA LETU KWA SASA NA SIO HAKI MAJAJI KUPUMZIKA SIKU 72 KWA MWAKA WAKATI MAGEREZANI KUNA WATANZANIA WANAUMIA KWA KUCHELEWESHEWA KESI ZAO.

NAOMBA KUWASILISHA
MADENGE
DARES SALAAM
MADENGE
DARES SALAAM

Heee hii kali kweli kweli kama mdau anavyosema hapo juu kama kweli ndivyo ilivyo ni vema ikabadilishwa haraka sana na nadhani kumbe ndio chanzo cha makesi mengi kuchelewa kupata MAAMUZI pale Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaa!Jamani muda ni mali inakuwaje mtu mmja yaani jaji apumzike siku 72 katika mwaka wenye siku 365?
ReplyDeleteMadenge, hapo kaka umelonga ndugu yangu...yaani hapo umejumuisha mengi sana yakiwemo mikataba ya maji ya mto Nile n.k. Na kwa kweli kwenye hili swala kuna vitu kama Iddi zote (El Fitr & El Haji), Diwali (Hindu) n.k. mbona hakuna likizo mbadala?? Au didi ya taifa ni hiyo ya XMass na Pasaka?? Sijaingiza udini ila najaribu kuonyesha ukweli. Tutafika tu siku moja, lini?? hatuna haraka....
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania na watu wake
What!and they are being paid with out KODI? That is rediculous,they should change it and work otherwise they should take unpaid leave!!
ReplyDeleteee bwana hata mimi inaniboa sana hiyo najiuliza na watumishi wengine wa umma au sekta binafsi wakifanya hivyo nchi itakwenda?balaa tupu!! labda ina maana yake, tuwaulize wabunge, kama ilianzishwa namkoloni kwa manufaa yake leo hii bado ina maana? WAMULIKWE!!
ReplyDeletewewe anon nov 26 4:56 p
ReplyDeletesasa na wewe unavyosema sherehe za dini unamaana gani?
embu fikiria iddi na sherehe zingine hazina tarehe maalum kila mwaka inakuja tofauti halafu inafuata mwezi. hivi unataka kuniambia tuwe tunabadilisha siku za mapumziko kila mwaka au?
just think about it,
so its not about religion ni logic tu.
so chill out and enjoy the ride !!!