wadau hebu tujikumbushe nani ni nani hapo. f mtimkubwa upoooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. mzee michuzi mimi nilikuwa sijui kumbe hadi humu kwenye blogu unaweza kufagilia?f mti mkubwa upooo?wapi papaaa msofe?aaaaaaaaaaa michuzi wa blogu tupe tupe news!!!

    ReplyDelete
  2. Baaab kubwa marehemu Patrick Balisidya aliimba "dunia ya mashaka" wema hawana maisha.

    Mstari wa nyuma watatu kutoka kushoto naona..kizazi cha Burito hayati baba wa taifa Mwl Nyerere(RIP)anayemfuatia ni
    MZEE Kaunda.Wengine wadau watamalizi.

    Mstari wa mbele namuona KINGS OF THE KINGS...the lion of Juda..King Haiilie Selassie..(rip) nuff peace..respect..

    Hivi huyo pembeni yake kama Nyerere wa kwa watani wa Jadi..i mean Kenyatta

    ReplyDelete
  3. nimeweza kuwatambua nyerere, kaunda, obote, mobutu jomo kenyatta,na mfalme halie selassie.

    constantin,
    genève,suisse

    ReplyDelete
  4. Macho ya uzee yanawakumbuka,

    Mbele toka kushoto wa kwanza siyo Rais banda? mwenye kofia nadhani Rais Bokasa, anafuatiwa na Mfalme Haile Selassie, Rais Kenyatta, kati yao simkumbuki, wa mwisho Rais Mobutu.

    Nyuma toka kushoto, wa kwanza simkumbuki wa pili Rais Obote, Rais Nyerere, Rais Kaunda wawili wa mwisho siwakumbuki.

    Rais Kaunda dongo gumu. Mpaka leo anadunda nakutoa hoja na bado anaunyemelea urais.
    Maslaam, Jumapili njema,

    f MtiMkubwa.

    ReplyDelete
  5. mstari wa mbele kuanzia kushoto ni
    Gregoire Kayibanda(rwanda), Jean bedel bokassa (Cental african republic), Haile Selassie, Jomo Kenyatta, sekou toure?, Mobutu Seseseko. Nyuma kuanzia kushoto: simtambui, Milton Obote, Julius K. Nyerere. Kenneth Kaunda, Huyu either ni Diori au yule wa sudan, mwisho Rais Osman wa Somalia

    ReplyDelete
  6. nimewatambuwa Mchonga,mobotu,Sam Nujoma(mwenye mkongojo+mzuzu), King H.Selassie na Mugabe

    ReplyDelete
  7. Ee bwana Eeee!
    Kumbe mambo ya ki-pe de dje yalianza zamani? Si umemcheki huyo wa pili toka kulia mstari wa mbele hapo? Suruali kavalia kifuani. Ni nani huyo Michuzi?
    Sasa mbona mlikuwa mnacheka yule mtu uliewahi kumtundika humu siku za nyuma akiwa amevalia suruali yake ya kijani kifuani kwenye matiti?
    Kumbe mambo haya yameanza zamani!
    Big up!

    ReplyDelete
  8. Da! kwa kweli hii inafurahisha nafikili wakati wanapiga hizo picha kila ngoma ngumu hapo ina mawazo yake. Cha kukumbuka ni historia imepita na bado kila mmoja wao anakumbukwa kwa alichokifanya kama ni kizuri au kibaya da hizo ngoma ngumu sio mchezo hasa hiyo iliyopandisha suruali hapo juu du utazani papapapa kweli upapapapa ulianza mbali.Nafikili histori itamjaji kila rais.

    ReplyDelete
  9. Michuzi unaona vijana wanavyobahatisha na majibu ya uongo? Kuna mmoja kwa kujiamini kabisa amethubutu kutamka kwamba amewaona hapo kwenye picha Nujoma na Mugabe! Wenyewe wanaita "kudesa", tunao wengi tu wasomi wa namna hii, wasilolijua hujifanya wanajua!

    ReplyDelete
  10. Mstari wa mbele: Gregoire Kayibanda (Rwanda), Jean Bedel Bokassa (CAR), King Haile Selassie, Jomo Kenyatta, Jomo Kenyatta, Abdel Gamal Nasser (Misri), Mobutu Sesse Seko.

    Nyuma kuanzia kushoto: King Mwambutsa IV (Burundi), Milton Obote, Julius K. Nyerere. Kenneth Kaunda, Hubert Maga (Benin), Hamani Diori (Niger).

    ReplyDelete
  11. I LOVE THIS PICTURE! GOD BLESS! JK I MISSS YOU!!

    ReplyDelete
  12. kama sikosei ni kikao cha Maalum cha OAU kujadili mgogoro wa waasi wa Guinea Bissau wakisaidiwa na nchi ya EquatorialGuinea kutaka kumuondoa madarakani Rais Sekou Toure.Rais Nyerere wa TZ alitoa hotuba kali sana ktk kikao hicho mjini Adis Ababa akilaani mabeberu kuwapa waasi silaha kuifanya Afrika isiwe na Aman
    kwa mbele kushoto,ni Mfalme-Rais captain-Gregory Kayibinda{Rwanda},anayefatia ni dikteta Jean Badel Bokkassa{Afrika ya kati},anayefatia ni Jah-simba wa Yuda Haille Makoena Selassie{Ethiopia},amayefata ni Mzee Jomo Kenyatta{Kenya},na wa mwisho ni dikteta-Kanali mobutu Seseseko Kuku wa Zebanga{zaire}
    kwa nyuma kushoto ni Marian Nguebi{Congo-Brazaville},anayefatia ni Milton Apollo Obote{Uganda},anayefatia ni Mwl Jk Burito Nang'ombe Nyerere{TZ},Anayefatia ni Keneth Kaunda{zambia},anayefatia ni Ahmed Sekou Toure{Guinea},na mwiho kama sikosei ni Marcias Francisco Nguema{Equatoria Guinea}
    kwenye kundi hili la waafrika viongozi ni mmoja tu aliye hai lkn hayupo madarakani Dr Keneth Kaunda

    ReplyDelete
  13. michuzi leo nimeamini,kumbe wadau vijeba unao kede kede,maana kuwatambua hawa jamaa kaaaaazi kweli kweli kwani hii picha ni circa 1970.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...