wadau mlio ughaibuni taarifa ni kwamba hivi sasa bongo kuna kampuni ingine mpya ya ndege ya abiria ya binafsi inayotoa huduma kwa safari za ndani chini ya jina la community airlines (juu kulia) na mambo yake ni mswano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hongera Diallo,Samweli Nyalla nakuaminia mwanangu,fanya mavituuuz hadi eitisi na Presishon waipate fresh.

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Nie-logi ktk webusaiti yao ya www. communityair.co.tz/ home na nilikuwa nataka habari za wanaomiliki hii kampuni pamoja na majina ya maofisa waadamizi wa kampuni hii lakini habari zao hazipo.
    Mashirika mengi hutoa habari kuhusu ni nani/kampuni gani wamiliki wa mashirika ya ndege na pia majina la afisa mtendaji mkuu na 'group captain' huwa yanawekwa bayana.
    Majina hayo ni muhimu ktk zama hizi za uwazi tusije tuka 'kwama' airport na nadhani Communityair wataijali hii hoja.

    Nawasilisha
    Msafiri(Mdau)

    ReplyDelete
  3. jamani hizo ndege kuna inayoelekea dodoma makao makuuuu? Please michuzi nijibu hili swali inaboa sana kutumia mabasi tu ma mabaabara mabovu kama ingekuwepo ndege ya DODOMA DAR + MWanza ingependeza sana.

    ReplyDelete
  4. Congratulations guys, naziona juhudi zenu. Afadhali na wabongo tuendelee. Website yenu kali kichizi, and i know service zenu pia zitakuwa bomba. Lazima niombe ride hapo one of these days nikija bongo!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Community air tunaomba ndege ya Dar -Mbeya,pia Dar Bukoba ili tusipate shida na mibasi inachinja mara kwa mara

    ReplyDelete
  6. Hallo kaka misupu, sorry i mean michuzi, naitwa Dada Jasmin wa Kino ila kwa sasa nipo A-town.
    Ukweli uwepo wa community ni changamoto kwa sekta ya usafiri hapa nchini.
    Wasiwasi wangu isije ikawa yale yale ya Air nanihii kuanza kuachana kwenye mataa eapot, sababu jamaa kwanza ndege yenyewe moja sasa ikiharibika hakuna ya kufaulishia.
    sekand lidege likubwa sasa tusipojaa si itaghairi wajamen?
    thed, naona wajamaa wamejipendelea ruti ya mitaa ya kwao rock city sasa unaweza kuta ukiwa unatoka tofauti na huko, unawekwa bench kwanza mpaka nafasi ipatikane hata kama umewahi, (ni mawazo tu jama?
    lasti, embu kaka misupu washauri wajamaa walete hata videge vidogo kama presishon ili hata na sie wa bombambili, namtumbo na mitomoni songea tupate angalau na ya kwetu maana viwanja vya mikoani si unajua vidogo kwa lidege kama lile?.
    Mwisho kabisa nawatakia wanablog wote merry happy x-ma..,
    Sorry, happy x-ma...,
    Duh, marry new happ....,
    I mean happy marry new...,
    Yaan happy new x-ma...,
    Aaaaaagghhhhhh!!!!!!!, YOU KNOW WHAT I AM SAAAYYYY!!!!!!!!???????

    ReplyDelete
  7. Duh,

    I bet Dada Jasmini umedata lol.

    Enewei, yu medi mai dei.

    ReplyDelete
  8. ipo inayokwenda tanga?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...