Home
Unlabelled
mipango miji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mi naona jei kei awaite mipango miji wote, weka kwenye chumba kimoja halafu leta kifaru kwa nje. then boom.
ReplyDeleteanony wa hapo juu point.
ReplyDeleteIla sasa sijui jk atamaliza wangapi, ni hivi karibuni tu nilikuwa kijijini nimetia tim bongo hakuna maji, yaani nchi inashindwa kumhakikishia mlipakod kama ataoga asubuhi akatafute kodi ya kulipa, likewise kwenye sekta nyingine nyingi tu kama umeme, posta nk, huduma fyongo, kwa kweli tujifariji tu kuwa tazania tambarare ila ni kwa kundi flani tu la watu, jamani mimi japokuwa nina kazi nzuri ila sasa bongo imenishinda, nikipata mchongo bora nikabebe boksi hata aka tano nirudi nikiwa kwenye class nyingine, ila tarudi?nimeshawah kwenda ulaya nikachukia labda amerika taweza, ulaya napo ubaguzi mno, mtu mweusi unajishtukiiiiiia!mwenye mchongo jamani haswa wa yuu esi ei(usa) tushituane wadau tije tibebe maboksi tijikomboe na kero za umaskini.
sawasawa
ReplyDeleteTambarare mnalalamika nini??Tutaoga na maji ya mvua.
ReplyDelete