Home
Unlabelled
dar express
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii body ya hii basi imetengenezwa na kampuni inayojulikana kama IRIZAH (century). Hii ndio body iliyoongoza kwa ubora mwaka 2006 na kutunukiwa nishani ya ubora mwaka huu, sifa zake kuu ni pamoja na kuwa na luxury, imara na nyepesi
ReplyDeletekwa jamaa zetu wanaotaka malori yaendelee kubeba abiria, huu ndiyo mfano halisi wa basi la abiria kwa safari za mikoani.
ReplyDeletewengine watalalamikia kuwa bei kubwa, approximately USD $ 300,000, jibu langu kwao ni kwamba kama hawezekani siyo lazima wafanye biashara ya abiria, mbona biashara ziko nyingi jamani?
keep it up Dar Express, a serious business should import passanger service vehicles like this, lakini ikumbukwe kwamba yapo makampuni mengi sana yanaunda mabasi imara yanayoweza kupunguza ajali na kuokoa maisha ya watu.
after all technology ya kuunda mabasi siyo kubwa sana, basi tu watanzania tunapenda ulipuaji na ubabaishaji.
Buffalo Coach na Kilimanjaro Express (KLM) ni mfano wa malori yalingolewa cabin na kuvalishwa bodi ya mabasi. Mystic Man
ReplyDelete