dar express likiondoka a-taun kuelekea dar. pamoja na udhibiti wa serikali lakini baadhi ya makampuni ya mabasi ya moshi-arusha yamekuwa yakipandisha nauli kuto0kana na wingi wa 'mahujaji' wanaoelekea migombani nyakati hizi za krisimasi na mwaka mpya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii body ya hii basi imetengenezwa na kampuni inayojulikana kama IRIZAH (century). Hii ndio body iliyoongoza kwa ubora mwaka 2006 na kutunukiwa nishani ya ubora mwaka huu, sifa zake kuu ni pamoja na kuwa na luxury, imara na nyepesi

    ReplyDelete
  2. kwa jamaa zetu wanaotaka malori yaendelee kubeba abiria, huu ndiyo mfano halisi wa basi la abiria kwa safari za mikoani.

    wengine watalalamikia kuwa bei kubwa, approximately USD $ 300,000, jibu langu kwao ni kwamba kama hawezekani siyo lazima wafanye biashara ya abiria, mbona biashara ziko nyingi jamani?

    keep it up Dar Express, a serious business should import passanger service vehicles like this, lakini ikumbukwe kwamba yapo makampuni mengi sana yanaunda mabasi imara yanayoweza kupunguza ajali na kuokoa maisha ya watu.


    after all technology ya kuunda mabasi siyo kubwa sana, basi tu watanzania tunapenda ulipuaji na ubabaishaji.

    ReplyDelete
  3. Buffalo Coach na Kilimanjaro Express (KLM) ni mfano wa malori yalingolewa cabin na kuvalishwa bodi ya mabasi. Mystic Man

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...