Home
Unlabelled
dully sykes atamba holland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wawawaaa... fagilia Missiffazzz Kempu Meen!!!
ReplyDeleteIlala inatisha mwaka huu. Huku Richard huku Dully
Huyu anayechza naye sijui ndio nani? Salome, Julieta, Jasinta, Bijoux au baby Candy? Akirudi huku uswahili tutakoma maana hilo jina la misifa anajua kweli kulipatia na misifa yake. Safari hii nadhani atatulia na kufanya kitu cha maana zaid na pesa zake.
ReplyDeleteNdugu Michuzi,
ReplyDeleteMaoni yangu hayahusiki na muziki wa Dully. Nimepata aibu kubwa hapa Japan baada ya kusoma habari ya kibiashara inayohusu mfanyabiashara anaeuza vitu vya SAMSUNG Tanzania (sole distributor). Sifahamu wa nini Edita kapitisha maoni ya mwandishi kuwa Balozi wa KOREA KASKAZINI (North Korea) kafungua hio biashara yake wakati inajulikana duniani kote kuwa Samsung ni ya Korea Kusini. Hii ni aibu kubwa. Gazeti ni la The Guardian (jana), gazeti muhimu la Kiingereza Tanzania. Hii ndio sababu ya nchi za kitajiri zinalazimisha waandishi wasome chuo kikuu kabla ya kuandika maoni ya kibiashara magazetini. Na kama mimi ni Mengi basi Edita hana kazi. Haya ni maoni yangu na naamini wewe kama mwaandishi wa habari unafamu kwa nini yanatia aibu. Nimeweka maoni hapa kwa kuwa najua wadau wengi watapita kwa kuwa kuna habari za Muziki sio za kibiashara.
Ndo zenu wabongo mnafagilia starehe kuliko kazi.
ReplyDeleteNjaa inakuja hiyo mtakoma.
SASA HAPA DULI SEXY MBONA AMEVAA PETE AU NDIO YALE YALE!!!!!!!!!MMMMMMMMMMM. ææææææææææææ
ReplyDeleteSasa wewe jamaa wa SAMSUNG unatatizo gani?? Kwani umethibitisha na kuona kuwa si BALOZI wa Korea kaskazini ndiye aliyefungua hiyo biashara?? Usimtupie lawama mwandishi, kwanza thibitisha kama yaliyoaandikwa ni ya kweli au la. Yawezekana kabisa huyo Sole distributor ndo kafanya huo uchuro wa kumwalika MSURE wa Kaskazini badala wa kusini. NAWASILISHA
ReplyDeleteJamaa wa SAMSUNG kaongea jambo moja la maana sana,sijui ni kwa nini watu kama wewe anon dec 3,07:3:44 hukuelewa.Mwandishi lazima awe hakiki kwa kile anachoandika.Ndiyo maana enzi za magezeti ya "uhuru,Mzalendo,Daily news,sunday news" na magezeti mengine machache yaliyokuwa yanatesa enzi zile pindi mwandishi akikosea kuelezea jambo fulani kihakiki walikuwa wanaomba msamaha kwenye toleo lifuatalo sio siku hizi.Waandishi wengi wa siku hizi ni form four failure wanaochukuwa kijikozi pale TSJ na matokeo yake wanaharibu taaluma za watu.
ReplyDeleteWee anon wa tatu wewe vipi?. Unasema umepata aibu,baada ya hapo unasama aibu hii ni kubwa kwa gadiani hivi mengi mjomba wako?. Kwnza nji gani tajiri zinzsema lazima waandiishi waende chuo kikuu. Usidanganye kenge njoo dk nikuonyeshe waandidhi kibao wasio na nondo.......kweeeenda....
ReplyDeletenyie wala vumbi wenye wivu na wabeba box,hivyo vitu ambavyo kshikilia mchovu mwenzenu sijui baby candy huku ndio tunakula everyday...nyie endeleeni kula vumbi
ReplyDeletewenu mbeba box.
Ahh!!!!
ReplyDeleteWee anon hapo juu sasa huo ndio unaona umaarufu. Hebu jiulize ukishamaLIZA KULA unpata nini?. Unatoka zigua nini kwanza hazija pigwa najua hizo............. Lete mpya
Wahwaaaaah Mr Chicks aka Misifa ndani ya nyumba halo halo!
ReplyDeleteKitu na box, totoz la kizungu lilipagawa mpaka likapanda juu ya steji duh!
Huyu ndo INTERNATIONAL ARTIST basi tuu hakuna watu wa kukuza kipaji chake!