picha za gari la mashindano la marehemu khalid bakhressa kabla na baada ya kupata ajali leo huko zenj na kupoteza maisha yake nyota huyo wa mbio za magari aliyekuwa anachipua

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ni habari ya kusikitisha sana..lakini ni ahadi yetu wote.
    Pembeni ya gari limeandikwa Khalid na Moses Matovu, vipi huyo mwenzake hakuwa nae au?
    Bwana Mungu amrehemu ndugu yetu!
    Agie

    ReplyDelete
  2. RIP Khalid...very humble guy...u will be remembered...1

    ReplyDelete
  3. RIP Khalid, sote tu njia moja issue ni muda tu, Tangulia dogo. Michuzi tuwekee na picha ya gari aliyopata nayo ajali mheshimiwa wa Mchinga Mudhihir mpaka ikapelekea kukatwa mkonowe, hatujawahi kuiona hiyo gari ipo katika hali gani!

    ReplyDelete
  4. poleni ndugu na marafiki wa ostazi khalid. mimi naona ni vizuri tukatenga sehemu maalum ya kufanya michezo ya aina hiyo, kama huku ulaya kukiwa na michezo ya namna hiyo kunakuwa na tangazo maalum kuwa baranara hiyo itafungwa, na siyo watu wanapita wengine wanafanya mashindano ya magari, RIP khalid.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...