
TUMUOMBE MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU - AMINA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Why our life is so short. I really afraid of going back home. will i survive for long!.
ReplyDeleteAny way Rest in peace Ben
anonymous 10:02 pm, Nyambaf...we kwa mawazo yako ukikaa ughaibuni ndo haufi. Kifo kipo pale pale muda wako ukifika hata kama upo sayari ya mars utakwenda tu.Kifo hakipo kwa wala vumbi tu. Kimeshaandikwa kwa kila kilicho hai hakiepukiki.
ReplyDeleteWe Ben cjui nani wewe Mbwiga kweli, limbukeni mkubwa wewe. Eti unaogopa kurudi nyumbani, so unataka kutuambia huko ulipo hawafi? Uongo tu usio na msingi. Hayo makaburi wanaishi walio hai? Mbona wabongo mnakuwa waongo hivyo, kisa mmetoka? Lione kwanza. eti I really afraid, kiingereza chenyewe feki, nenda shule lione.
ReplyDeleteFor Ndugu wafiwa, Poleni kwa msiba, Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu panapostahili.
Duh, nilikutana na huyu Mheshimiwa India hospitali inaitwa APOLO. Alienda kufanyiwa check-up, Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Ameeni,
ReplyDeletePole nyingi sana kwa wafiwa, nilisoma na binti yake anaitwa VERONICA LOSURUTYA huko dodoma na kukaa naye bweni moja, tumepoteana miaka mingi sana, naomba kama kunayeyote mwenye contact zake aniwekee hapa kwa MICHU hapanshaka nitazipata ili niwasiliane na mpendwa na kumpa pole, RIP our beloved dad LOSURUTYA.
ReplyDeleteTake it or live it, the truth remains that life expectance in third world countries is way shorter than in developed countries, hivyo msimsakame huyo aliyesema anaogopa kurudi kwao.
ReplyDeleteNilibahatika kukutana na Mheshimiwa marehemu LOSURUTIA huko Kiteto. Kwa kweli alikuwa ni mtu wa msaada kwa wengi na amewasaidia vijana wengi wakimaasai ada ya shule bila kujali wanatoka boma gani ila kuonyesha wahahitaji la kusoma.
ReplyDeleteAlitusaidia gari kupeleka vijana zaidi ya 40 kwenye mkutano wa TYCS bure Arusha mjini(mwaka 2001).
watoto na familia kwa ujumla ni watu ambao hawaonyeshi dharau kwa watu na mtomto wake nilimfundisha mafundisho ya dini. She was very bright.
May His Soul Rest in Peace. Amen.