BWAWA LA MAINI LIMEKUWA BWAWA LA UTUMBO HEBU NA SISI WANA MANU TURUSHE KTK BLOG YETU ILI TUJUE KAMA HII NI BLOG YA WAZALENDO WOTE,
HIVI INGEKUWA LIVERPOOL KAMFUNGA MANU INGEKUWAJE HEBU WAELEZEE BWANA MICHU....
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NI KWELI MZEE WA BWAWA LA MAINI NOMA SAANA KUBANA NAMNA HIYO MKUU. TULITEGEMEA KUONA PHOTO LAKO UKIDONDOSHA CHOZI. KILIO CHA MTU MZIMA.
ReplyDeleteMan U akipata goli ktk mechi kubwa kama hiyo lazima itakuwa ni la utata, penalti, kona, faulo na mengine ya utata utata. Lile goli limefungwa baada ya beki yote ya lava pu kuwa imeondoka na jamaa kuwa offside!!!
ReplyDeleteUnajua tatizo la Merseysiders ni Rafa Benitez kushindwa kujua ampange nani anapokutana na big boys (Man,Arsenal & Chelsea)...ukiangalia game zote walizocheza tangu achukue Rafa ushindi mara nyingi unakuwa wa zari sana na ushindi wenyewe kaubahatisha sana sana kwa gooners na wakati huo sishangai kwa nini aliwafunga manake arsenal walikuwa wanamtegemea sana Chogo (Henry).
ReplyDeleteRecord ya liverpool kwa Man na Chelsea iko hivi tangu Rafa aichukuae:
2004/2005
Liverpool 0-1 Chelsea
Liverpool 0-1 Man U
Chelsea 1-0 Liverpool
Man U 2-1 Liverpool
2005/2006
Liverpool 1-4 Chelsea
Liverpool 0-0 Man U
Chelsea 2-0 Liverpool
Man U 1-0 Liverpool
2006/2007
Liverpool 2-0 Chelsea
Liverpool 0-1 Man U
Chelsea 1-0 Liverpool
Man U 2-0 Liverpool
2007/2008
Liverpool 1-1 Chelsea
Liverpool 0-1 Man U
Michezo Jumla 14,
Kushinda 1,
Draws 2,
Kufungwa 11,
Magoli ya kufungwa 5,
Magoli ya kufunga 18,
Points 5.
Yaani hiyo ni poor record ukilinganisha na wanavyokukuruka kwenye Champions League. Sababu kubwa inayowafanya hawa jamaa wasiweze ni ile kutokuwa na mchezaji mwenye uwezo wa kuvuruga miundombinu ya Big boys kama ilivyo kwa United,jana Anderson alimkamata Gerrard ..Hagreaves akamuweka mkobani yule Kuku wa kienyeji hapo sijaongelea Ferdinand na Vidic walivyompoteza Torres.
Lakini kwa Man utd kinachowasaidia siku zote ni kuwa na wachezaji ambao ni wavurugaji wa mpiria hata kama team yao imezidiwa possesion kama jana Rooney alivyokuwa anamvuruga Carragher, na hata ile ya kumkaba Ronaldo watu zaidi ya 2 iliwacost coz walikuwa wanaipa chance midfield kufanya counter attack au kuokoa mipira kirahisi.
Kwa ujumla jamaa walikuwa wanaishiwa miundombinu wakifika golini kwa Man United na mipira ikawa inaokolewa kiulaini. By the way,hivi huyu Rafa anaona nini kwa Dirk Kuyt? Jamaa yuko rubbish sana na sioni haja ya kumuanzisha yule Harry Kewell wakati kuna yule mtoto Babel!?
Nways,nilifurahi tulivyowafunga manake mshikaji wangu TanzanianDream_ na MeSSi wamekimbia online msn au nadhani wameniblock,,,waliongea sana immagine walipredict goli 3-0..
hehe!!
GLORY GLORY MAN UNITED!
Mithupu tukumbuke na sisi Washika Bunduki jamani.....hmjasikia tumewachapa wale jamaa wanaovaa jezi za bluu tupu mpaka chupi? Mfungaji akiwa yule jamaa waliyeona hawamtaki kwao wakamleta kwetu...Gallas...lakini ilikuwa ni siku mbaya pia kwa wale jamaa wanaovaa pia jezi nyekundu tupu...wale kina mithupu wale..kwani nao wameonja tena nyongo kwa mara ingine nyumbani kwao...!! Zile timu mbili za wanaovaa nyekundu na nyeupe ndio zilikuwa kidedea...wengine kama hamuipendi Aseno kajinyongeni na kamasi la kuku......
ReplyDeletekaka unaedai goli ni offside aliyekuadithia mpira lazima atakuwa chongo kama sio kipofu kabisa...anagalia upya mwenyewe then utoe comments tena
ReplyDeleteHuyo Ano anayedai goli lilikuwa la off side ulihadithiwa au ulikuwa unachumgulia dirishani??Beneyoun ndio aliyevunja off side kwa kuganda golini baada ya mpira kupigwa.Ingekuwa off side ungewasikia bwawa la utumbo wangelalamika sana.Anfield nyumbani kwetu bwana kila tukia mtu analia.Wewe unafikiri Michuzi mjinga kwenda ukweni kuhani alijua kilio ni lazima.
ReplyDeleteFrom the biggest Arsenal fan
ReplyDeleteAnon wa pili naona wewe kweli hujui soka lilivyo lile goli goli halikuwa offside beki/mchezaji mmoja wa liverpool kama sikosei ni BENAYOU alikuwa yupo kwenye mstari wa goli(liverpool)na kwa maaana hiyo lile goli lilikuwa harari.Jifunze kanuni za kabumbu kwanza kabla haujaropoka.
-Nilitegemea LOSERPOOL watatusaidia kuwastopisha MANYUU lakini wameshindwa.Hii timu ovyo kweli.Wana GUNNERS msikate tamaa mwaka huu ni wetu.Tuombe Mungu vifaa vyetu visiumie.
Wewe Anon namba2 usinichekeshe unasema tevez amezidi wakati akitumbukiza bao safi hivi yule mwana wa izirael ukumuona ameshikili mlingoti wa goti kama anafukuza ndege wasile mpunga.
ReplyDeletemichuzi we ni kop fan halisi, ukiandika habari za shitchester utatengwa...mnaomind tafuteni globu jingine
ReplyDelete