Home
Unlabelled
mabweni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
it look too small to accomodate eight people.
ReplyDeleteNadhani hapa Mh.Rais JK anashangaa waliochora na kujenga chumba kidogo namna hiyo.
ReplyDeleteInanikumbusha vyumba vyetu mabaharia wapiga deki katika meli tulizozamia kuja ughaibuni. Vyumba vipo dizaini hiyo hiyo ndani ya meli za 'Messina Linea' meli ya makontena.
Ama kweli si ajabu waalimu watarajiwa kuendesha migomo ya mra kwa mara kwa kubanwa miaka miwili wakisaka dilpoma ya ualimu.
SeniorJunior
London.
hii mitanda ya mbao nayo inachukua space kubwa? kwani hakuna deka za chuma jamani?
ReplyDeleteHuyu alie design hili jengo hakuwa na vision. Watu 8 hawatoshi humo ndani..utaweka wapi nguo? nimesoma shule za sekondari Bongo na nakumbuka tulikuwa na ma locker kwa ajili ya storage, hapa lockers hazipo, may be ziko kwa nje.
ReplyDelete..utasomea wapi incase you don't feel like going to the library?
Pia nime bahatika kusoma nje ya nchi ambapo hiki chumba kwa standard ya ma dorm niliyoishi kina acomodate watu wawili tena kwa shida sana..
I mean siwezi ku compare bweni la U.S. na bweni la shule Tanzania kwani kufanya hivyo si haki..moja kwa sababu wenzetu ni watu wanao mind sana "space" zao...which means hawapendi kubanana wala msongamano na pili serikali, states, counties, makanisa, etc.,wana resources za kujenga facilities za hali ya juu sio tu kwenye elimu bali hata kwenye michezo, na nyanja zingine tofauti.
Lakini this room for 8 people is too tiny. Hata yale mabweni ya Sekondari yaliyojengwa zamani zile yana more space.
Nafikiri this picture explains itself..Mheshimiwa Rais anaonekana ana mshangao...