Home
Unlabelled
mama na maafande wanawake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
du, hapo wakina mama mmenimaliza. Hongereni sana kwa kuweza kupanda ngazi kufikia hapo. Mnatia raha sana na tunajivunia hilo. Chukueni mpaka ukuu wa Majeshi na Mungu awasaidie sana.
ReplyDeleteWanawake wa nguvu sana nyie. Mungu awabariki. Inatia moyo sana kuona wanawake wanapitia kwenye heka heka za Kijeshi mpaka kufikia hapo walipo. Mubarikiwe sana sana.
ReplyDeleteHongereni wanawake washoka, kwa kupanda vyeo. Ha hapo mmependeza kweli.
ReplyDeleteHii inaonyesha kuwa hakuna kitu kinachoweza mshinda mwanamke. Yale mambo ya wanawake hawawezi yamepitwa na wakati. Kinamama Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hivi kweli walipigana vita gani vile?
ReplyDeletewalipigana vita ya jinsia hao kupambana na mfumo dume mpaka wameshinda .. hahahahaaa
ReplyDeletejeshi gani jamani...la wakovu???
ReplyDeleteMichuzi, inabidi sana Tanzania itilie mkazo wa kuelemisha vijana wake.
ReplyDeleteMimi nikiona hiyo picha, na kumwona Brigedia Jenerali Lilian Kingazi, yanirudisha mwaka 1970 hapo Kibosho Sekondary School.
Mwaka huo nilianza kazi ya kufundisha baada ya kuhitimu Mlimani na kupelekwa Moshi Technical Sec. School kufundisha.
Kwa bahati nilipelekwa hapo Kibosho Sec. School kuwa
"Invigilator" wa tihani wa kumaliza kidato cha nne.
Kwa kuwataja wachache tu, watahiniwa walikuwa akina Esta Maro, Rose Rusimbi, Irene Temu na huyo Lilian Kingazi.
Mara ya mwisho kumwona Lilian Kingazi ilikuwa mwaka 1975 akiwa Second Lieutennant baada ya kumaliza mafunzo hapo Mugulani.
Hongera, Brigedia Jenerali Lilian Kingazi na maafisa wenzako wa kike, kulingana na "women empowerment and gender equality"!
,
Its about time; even though this comes late as it does. Hongera akina mama. Na shukrani nyingi kwa jemadari mkuu rais Kikwete. Furaha yao yetu sote hata sisi wanaume.
ReplyDeleteMheshimiwa Raisi najua unasoma hii blog ya michuzi, ningependa kuona siku moja tunapata Mkuu wa majeshi ya ulinzi mwanamama....yes why not...
ReplyDeleteMH. Rais, kama ni kweli unasoma hii blogu ya supu nakushukuru pia kwa uchaguzi huu nan pia nakuung mkono kwa kuoa mwanamke mzuri. Huyu ndiye first lady anayefaa.
ReplyDelete