Home
Unlabelled
mama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aah sio mchezo yaan mama kapendeza huyo balaa.congrats!!!!!!!
ReplyDeleteA real african Woman.Congrats
ReplyDeleteMichuzi hujambo?
ReplyDeleteKwa kusema ukweli huyu Mama anajua kuvaa na anapendeza pia.
Mwambie nampenda ukimuona maana najua weye mwenzetu mtu wa huko huko Ikulu.
JAMANI NIMELIKUBALI HILO VAZI LA MAMA!! NA NINALIPASISHA MOJA KWA MOJA KUWA VAZI LA KITAIFA LA WANAWAKE NA WASICHANA.
ReplyDeleteNISISIKIE MTU ANASEMA OHO SIJUI KIBALI CHA KUVAA BENDERA MAANA HIYO SI BENDARA BALI NI VAZI LA MTINDO UNAOITA NA LENYE RANGI ZINAZOVUTI WATANZANIA!
ASEMA,
DIKTETA ALIYEKUBALIKA KWA WAKATI MUAFAKA KWA MFANO WA YESU ALIPOWAFUKUZA HEKARUNI MAFISADI KWA KIKOTO BILA KUSUBIRI DEMOKRASIA.
FIRST MAMA NAHISI HATA DAMU KWA LEO NI RANGI KIJANI-BIG UP MAMA UMEPENDEZA HASWA
ReplyDeletemanjano na mdalasini
ReplyDeletewow, I like that dress
ReplyDeletehongera sana mama first lady umependeza kwakweli.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania na watu wake.
WAWAWAWAAAA MAMA WA KWANZA WAAAA! KAPENDEZA MAMA KAPENDEZA SANA!
ReplyDeleteMama wa kwanza kula kumi.Umependeza sana halafu mzuri, at least sasa tuna First Lady wa nguvu.Mavazi duuh si mchezo yanavutia sana.Na kwa nini lisiwe vazi la taifa???Mama yetu endelea hivyo hivyo walitucheka b4 kwa first lady ,But now unawapa habari yao.NAKUFAGILIA MWAAAH.Keep it up mama.At the end of the day mama yetu uwe dira ya hao wanaovaa visuit vya unazi.I like pure African Lady Like our FIRST LADY.
ReplyDeleteWENYE WIVU WAJITIE KITANZI.HONGERA MAMA.
Sasa kwenda kujisiliba marangi rangi kibao namna hiyo ndio nini?
ReplyDeleteKhaa!
Kwa kweli anavutia Shurti bendera ilegee kiunoni,michu tushushie full picha tupate full shangwe ya mai nanihii wa prezidaa tuige mshono(mage kifimbo cheza usimaindi kiinglish not richabo au fumba macho kabisa!)
ReplyDeleteAyiii wewe kajisiliba vipi na ndo rangi za bendera ya chama chake tawala, nakumbuka tafsiri ya hizo rangi tulisoma primary school.mh ila mamitu kachumpa ni kweli anatuwakilisha vizuri kinamama wa tz kwa kuvaa vizuri kiafrika.
ReplyDeleteThe first lady is beautiful.Hilo lazima tukubali...halafu anapenda uafrika wake kwani mara nyingi anavaa kiafrika.... sasa bradha Michu tafadhali tupe picha yenye view nzima ili tukope mshono......huyo anayesema marangi basi atuonyeshe kitenge chake.....kuna kitenge kisicho na marangi...kwenda zako!!!!
ReplyDeleteKweli vazi la kitaifa ni muhimu, kama hilo linafaa kwanini wabunge wasipitishe?
ReplyDeleteIla tunaomba liwe `rahisi' kwani likiwa ma mapambo mengi ina maana na gharama yake itakuwa kubwa au sio. Tuwe na kitu cha kujivunia, angalau hata vazi la taifa! Sidhanii hata hicho kinahitaji `mdhungu' atufikirie!
salma is a beautiful woman, really african, big up to you mama. The outfit looks amazing. Mfano wa kuigwa na kina mama wengine, you are trurly an african mama.
ReplyDeleteWewe unayesema marangi unachekesha kweli, hivi kuna kitenge cha rangi moja, si litakuwa shuka tena hilo? Jamani tuache wivu na tuamke sasa tuthamini kilicho chetu. Hivi unafikiri angevaa suti au gauni la kizungu wazungu wangemsifia? Nyie nyie ndio mngekuwa wakwanza kumkandia.
ReplyDeleteBwana Michuzi najua hilo unaweza tufikishie salamu zetu kwa Mama Salma first lady kuwa amependeza, na tunaomba hilo tenge angalau lipatikane madukani na sie tujimwage nalo. Ukienda Malawi, Zambia unakuta vitenge vyao vyenye rangi za bendera zao, na sie tunataka tuvae hicho kitenge tukiwa nchi za watu tujidai.
Tenge linapendeza bwana hasa ukijua namna ya kulivaa!!
michuzi ama kweli mama kapendeza sana.nipe contacts zake ni muunganishe na my wife wangu ili nasi tuwe nalo.
ReplyDeletekwa kwelii, kwa kusema za ukweli kabsaaaaaaaaaaaaaa! maza AMEFUNIKA
ReplyDeleteAmetoka kiasi kwamba ameonekana yeye tu na hiyo nguo na rangi kila kiti.Kwani hao wengine wamevaa rangi hiyohiyo jamani ? mi sioni ati! HIVI NI YULE YULE FUNDI ALLY WA TANGU MAMA AWE FESTI LEDI ANAMTOLEA MATOLEO YOTE? KAMA NDIO BASI FUNDI ALLY AMERUSHWA KUMSOMEA MAMA JINSI YA KUMTOA. UMEPENDEZA MAMA WENYE KIJICHO HAWAKOSEKANI WAPO TU WATAKAO ONA KINYUME CHA KUPENDEZA HAPO
Yaan wewe unayesema kajisiliba kweli ni mshamba wa kutupwa yaan mama katoka hivo unasema nini. yaan sijaona kabisa mama kapendeza haswa yaan sio mchezo yaan.
ReplyDeleteMama yetu ni mzuri jamani, uuwiii.
ReplyDeleteMama umependeza kinomi!! Mungu akupe maisha marefu Mama, tunakupenda sana!
Asanteni sana watanzania wenzangu! Mimi ndiye Mama Salma Kikwete, siwezi kuwaangusha kamwe kwa kuhusudu mila za wenzetu, si huwa mnaniona kwenye picha mbalimbali mimi ni vitenge kwenda mbele, napenda mila zetu za kiafrika, na nawahaidi sitabadili rangi ya mwili wangu kwani mimi ni mweusi asilia!! Big-up na huko ughaibuni na hapa nyumbani pendeni basi mila zetu vaine vitenge,kaniki, khanga, misuli nk kwenda mbele sehemu yoyote hata mahali popote hasa madarasani na maofisini ili kukuza mila za kiafrika!! Naahidi kuingia mkataba na mke wa rais wa Marekani kwenye kampuni yake ya nguo nilete vitenge, kaniki, kanga, misuli nk kwa wingi baada ya hapo nitaingia mikataba na wake wa marais wa nchi nyingine huko ughaibuni. Mke wa makamu wa rais wa marekani yeye tulishakubaliana kuwa nitakuwa natuma viatu vya magurudumu, ngozi na makobazi mbalimbali kwenye makampuni yake ili visambazwe kwa wingi huko! Hivyo msiniangushe watu wangu vaeni kiasilia ili tuitangaze Tanzania & Africa kiujumla!!
ReplyDeletewenu,
FIRST LADY,
AFRICAN QUEEN,
S.K
Tanzania is behind you salma. wewe ni mtu wa watu kabisa, endelea ivyo ivyo, hongera sana kuwakilisha tanzania. Big up sana, na shukurani kwa salamu zako tumezipokea.
ReplyDeleteNakufagilia waa waaa dada angu chinga mwenzangu, wavutia na wapendeza.
ReplyDeleteBro.Michuzi, hivi huyo anayesema Mama K kajiriba mirangi anajua kweli anachokisema? Kweli hajui ndiyo maana anajiita Anonymous!!@@ Hivi ni kitenge gani kisico na rangi? Au mwenzetu yeye kitenge kwake ndiyo ile kitu inayoitwa sanda? Nahisi yeye kitenge chake ni sanda ile shuka nyeupe anayofunikiwa mfu tayari kuzikwa. aache kijicho Mama wa kwanza kaulamba na kapendeza.
ReplyDeletehivi ni kweli aliyejibu hapo juu ni mama Jk? mimi nipo USA hapa napata tabu kuona mke wa rais anatake advantage ya ujinga wwa wananchi wake na kuwaambia pumba hizo hapo juu,muulizeni mke wa makamu wa rais marekani anamiliki kiwanda gani na ni aina gani ya dili aliloingia nae kuleta hivyo viatu,inaonekana mama ajui asemalo au anatake advantage ya watanzania kuwa shimono kihabari,mambo kama haya madogomadogo yanipa tabu sana Michuzi kufikiria uwezo wa wana habari wetu wanaripoti lolote bila kukwesheni uhakiki wa wanachoambia,Mungu tuwasaidie watanzania
ReplyDeletena wewe anonymous Dec. 13 8:02 huna akili...kama kweli angekuwa first lady angejiandika annonymous? huyo ni mtu tu kaamua kutumia jina la mama ....kiswahili chenyewe cha mtaani kweli mama ataandika hivyo? Fikiria mtu wangu acha lawama za kishamba....!!!
ReplyDeleteHaaa haaa wee anonmous Dec.13 8:02 unachekesha ile mbaya, kweli unaumiza kichwa chako kufikiria jinsi Mama K alivyosema, watu huwa wanafurahishana na kuvunjana mbavu humu naona wewe umelitilia makini! Acha kuwatusi wanahabari wetu wanaofanya kazi yao vizuri bwana! Wewe ndio una fikra potofu umeshindwa kujizuia ufinyu wa fikra zako kweli mama K anaweza kujibu hivyo! Humu watu wanajifurahisha kwa majibu ya kila aina ili mradi watu wanacheka na kufurahi ndio maana hata majina wakati mwingine ni ya uongo.
ReplyDeleteNyie mlionijibu ndio walewale,ndio maana nilianza na swali kabla ya maelezo,halafu wewe unaotetea waandishi hujui ulisemalo waandishi wetu kazi yao kusifia tu hawajui walisemalo,mfano ni dili la buzwagi nilisoma aticle moja mwandishi anasema waziri Karamagi or whoever his name is anasubiri ripoti ya tume ili awashuhulikie wahusika sasa kwa akili zenu nyie watanzania kuna dili inaweza kufanyika bila waziri kuwa na habari?lakini kwa mujibu wa mwandishi ukisoma maelezo yako ni kwamba waziri yuko safi has nothing to do with the deal,sasa wewe unaesifia waandishi nashangaa,huyu Michuzi mwenyewe anachagua habari gani atoe mtaendelea kuibiwa nchi hiyo kwa ujinga wenu
ReplyDelete