baba wa marehemu saidi salim bakhressa (mwenye leso) akiondoka makaburini baada ya mazishi
madereva wenzie na marehemu wakiwa wamekaa pembeni kwa huzuni

mamia ya waombolezaji akiwemo rais wa zanzibar mh. amani abeid karume na viongozi wengine katika mazishi ya marehemu khalid bakhressa aliyefariki leo kwenye ajali ya barabarani baada ya gari lake lililokuwa mashindanoni kuacha njia na kupinduka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Damn he is too young to die..enewei ndio mipango ya mungu kilichobaki ni kumuombea tu mungu ailaze roho yake mahali pema peponi..ameen

    ReplyDelete
  2. Rest In Peace Khalid, U'll be missed by many of Us. Your Presence brought Joy,Kindness and Love.
    Sincerly,
    M.

    ReplyDelete
  3. Khalid mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amin. Utabaki kuwa dereva mwenye akili na busara. Wewe ulikuwa mwanamichezo halisi.

    ReplyDelete
  4. mhh mpaka rais alikuwepo....

    ReplyDelete
  5. EVEN THOUGH DIDNT KNOW YOU, HEARD ALOT OF GOOD THINGS ABOUT YOU, U WERE A VERY GOOD AND CHARMING PERSON. YOU WERE A GREAT RACER, NO ONE WILL BE LIKE YOU. INNA LILAHI WAINA ILLAIHI RAJIUNNA. CONDOLENCES TO THE FAMILY, MAY HE REST IN PEACE. AMEN

    ReplyDelete
  6. Poleni ndugu, jama, ... wa marhem KSSB. Kwa hakika hamna atakaye ishi daima. Kwa kweli nasi sote tunaelekea huko.

    Pro. Zms

    .....*.........*.........*.....

    ReplyDelete
  7. May God Rest His Soul In Peace Ameen - RejaaaaaL

    ReplyDelete
  8. WALLAHI SAID SALIM BAKHRESA KAZAA SIMBA MMOJA NA HAKUDUMU SANA LAKINI ATADUMU KWENYE ROHO ZA WATU NI KHALID SAID KAISHI MUDA MFUPI NA KAISHI SIMBA NA KAFA KIFO CHA KISIMBA INSHALLAH ALLAH KWA REHMA ZAKE AMUUENGIZE PEPONI NA AMUUEPUSHE NA ADHABU AL GABUR AMEEN AMEEN AMEEN YARABI AL ALAMIN

    ReplyDelete
  9. I'm in shock from this news. I knew him personally. Mungu ameweke mahali pema.
    Khalid Balajem
    Washington

    ReplyDelete
  10. ina li'laakh waina ileikhi rajiun. inshaalaah mungu amueke pahali pema pepeni. alikua mtoto mzuri yaani mpole sana ,na mkarimu mnoo. kitambo sijakutana nae mpaka kusikia kifo chake.. kwakweli nihuzuni kwa kila anae mjua. na hata familia yake..mungu aiweke roho yake pahali pema peponi..(amin)..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...