Wadau wenzangu mnaoishi nje ya nchi,
salam.
Hapa ninakutumieni tovuti yenye orodha ya makampuni yenye nafuu katika simu za VOIP.http://progx.ch/home-voip-prixbetamax-3-3-2.html
Pia, unaweza kujisajili kwa kutumia anwani pepe yako nao watakufahamisha punde gharama zitakapobadilika.
Tovuti hii pia inapatikana kwenye kisehemu cha "tovunganishi" katika (Tovuti Unganishi = Web Link) www.nukta77.blogspot.com na www.nukta77.com
Shime tuhabarishane na kusaidiana Wadau.
"Siasa si hasa bali visa na mikasa",
Salam zangu,
Subi.
nchi ya nje ya wapi? Hizi gharama zinatofautina bara na bara. Zinaweza kuwa cheap huko uliko na kwingine ni ghali...Ni vizuri ungeeleza uko bara gani
ReplyDeleteHuku nilipo skyper ni ghali sana ni heri kutumia phone card kuita bongo. Ila kuna mtu aliyenipa hii kwake ni rahisi sana
Shukrani kwa hili