Mdau Steve wa Boston a.k.a. Bukoba akiwa ndani ya "Campaign for Change" na Senator Barack Obama, mgombea Urais kupitia Chama cha Democratic anayesadikika kuwa anaweza kuwa Rais wa kwanza Mweusi Marekani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Barack Obama, is in for a change, view streamline video, and barack TV at www.barackobama.com.

    on the personal note, I think our government and leaders should start learning a thing or two, from sincere and true leadership, from people like barack Obama.

    Tanzanians leaders lack vision, compassion and charisma of being a leader. This is 21st century,

    Learning a thing or two from barack obama.com..

    I hope you all listening.

    By Mchangiaji,

    ReplyDelete
  2. Hakuna cha kujifunza Tanzania kutoka kwa Obama

    Marekani ni nchi tajiri kila kona huwezi chagua mtu maskini kama Obama asimamie matajiri wa Marekani.Yeye ndiye hana vision hajui kuwa anapoteza muda wake na pesa za watu maskini hasa weusi wa marekani wakati hatashinda.

    Marekani huwa tunachagua maskini kuwa mabaharia lakini siyo manahodha.Uraisi ni kwa wamarekani tu wazawa wa marekani na wenye uwezo sio masikini na sio wajaluo kama Obama ambaye Baba yake ni jaluo tuko Kenya aliyekuja kubeba mabox marekani.Ubaharia hata kama ni ugavana wa jimbo ruksa mbeba box kupewa lakini sio uraisi.

    Wajaluo sasa hivi mlie tu kama mnafikiri mnaweza toa maraisi wajaluo wawili mwaka hamtaweza.Yule mjaluo mgombea uraisi kenya wa sasa Oginga Odinga atashindwa kwenye kura kule Kenya na huyu mjaluo mwingine Obama aliyeko huku USA anayegombea Uraisi pia naye atashindwa vile vile.

    Wajaluo mnapenda sana Uraisi! Kenya n USA kote mnataka! Marekani hatumpi kura Obama.Kama maskini waafrika mnamchangia pesa mjihesabu mmeumia maana hatashinda.

    ReplyDelete
  3. In your dream.The southeners wont let this to happen.Obama is just exercising his rights.

    ReplyDelete
  4. YAAH ANAWEZA KUWA NA SIFA BUT URAISI AMERICA I DOUBT WADHUNGU HASA!? MAY B. ALL THE BEST OBAMA

    ReplyDelete
  5. hivi huyu jamaa kweli ana asili ya Kenya? maana watani wetu wa jadi hawa wakenya bwana, wengi sikuhizi haswa huku niliko ughaibuni, utamsikia kila mmoja anajifanya yuko close na Obama, ooh mimi bibi yake alikuwa jirani yetu, ooh babake aliondokaga miaka mingi USA akarudi Kenya , basi huyu alipokuja kumsalimia babake kule tulialikwa kwao, ooh mimi mamangu, babu zake na bibi ya Obama wana undugu,,,n.k kwanini waafrica tunapenda kujikomba tukiona mtu anadeal flani,,,,?? anyway..kila la kheri Mr. obama.

    ReplyDelete
  6. Asili ya Mzee Obama ni watani wetu wa jadi yaani Harambeeeeee!!!!!

    ReplyDelete
  7. Kwahiyo na Bro Michu akikutana na Lady Jaydee uko bongo naye anaweza kupiga naye picha na kuja kutueleza kua alikua katika rehearsal ya album mpya ya Jaydee? Tuache kupigana fixi wabongo...

    ReplyDelete
  8. Mmarekani original, you must be suffering from rare form of depression.

    You sound like a mmmmhhh, won't say much.

    You sound like avenging monster, hate yourself to death, meet a dead end in America. Looser with no test. I suggest get a first plane home, and redeem yoursefl just like old days. Shy, Honest and cheerful young man. Who told you America is a dream land.

    Ha ha ha

    ReplyDelete
  9. baba yake barak alikuwa muislam,na jina lake lilikuwa Hussein imekuwaje baraka kawa christ ,wadao naomba msaada

    ReplyDelete
  10. we mtoa maoni namba 2 huna akili kabisa eti hoo sisi huku marekani huwa tuna chagua matajiri kwani mmarekani hadi ushadadie wamarekani ngoja ukamatwe urudi bongo mtu mwenyewe umeoza huna makaratasi tokapa.

    ReplyDelete
  11. Ni kweli Marekani wanachagua Rais ambae atalinda mali za matajiri. Kama mnabisha someni kitabu kinaitwa :Who Rules America: Power, Politics, and Social Change" kilichoandikwa na G. William Dumhoff. Corporate America ndio mtawala wa Marekani na wanaweka watu kuwa kugombea urais. Bila support ya Corporate America sidhani kama unaweza kushinda.

    Pia pitieni hapa muone jinsi hawa wagombea wote walivyo ma millionaires. Bonyeza hiyo link chini:


    Millionaires-in-Chief


    SAC

    ReplyDelete
  12. Wewe hapo juu unayesema Maraisi Marekani lazima wawe matajiri unajua Historia kweli. Abraham Lincoln alikuwa tajiri? Bill Clinton alikuwa Tajiri? Jimmy Carter alikuwa tajiri..kuna mifano mingi tu...ya maraisi ambao hawakuwa matajiri..hujui kabisa politics ya Marekani na unyamaze maaana wewe ni mpuuzi tu...!!

    ReplyDelete
  13. Can people shut up for once especially those of you pretending to be politcal strategists who knows the trend of politics and history of the U.S.
    This is pathetic... hakuna hata mmoja wetu anaejua nani atashinda..achilia urais but even Primaries..So do us a favor and shut up!

    ReplyDelete
  14. Kila safari huanza kwa kupiga Hatua,Si lazima Obama ashinde katika uchaguzi huu,bali kuwepo kwake katika mbio hizo za uchaguzi ndani ya chama na nchi nzima(akiwa Mmarekani Mweusi),inaonyesha kuwa INAWEZEKANA,na ipo siku Nchi hiyo tajiri Duniani itamchagua,na itaongozwa na Rais Mmarekani mwenye asili ya Kiafrika.("I have a Dream")-Martin.L.King

    **Jamani, kuna Nchi ambazo(France) hukuti hata Msoma habari mwenye asili ya Weusi ktk kituo cha Televisheni,ni mwiko!!

    ReplyDelete
  15. Wewe unayesema kuwa watu wa shut up hawajui vizuri siasa za marekani subiri atakaposhindwa Obama ndio utaelewa.

    Kuhusu Maraisi ambao unasema hawakuwa matajiri kama akina Clinton nakubaliana na wewe ila hawakuwa wa kiwango cha Obama.Ni kama kulinganisha kisima na bahari!Obama si wa standard ya hao uliowataja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...