kilio cha wadau cha kuwa na haja ya kuwa na mpangilio mzuri wa miji hakitoisha. hapa ni maeneo ya kusini mwa jiji la dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mi naona jei kei awaite mipango miji wote, weka kwenye chumba kimoja halafu leta kifaru kwa nje. then boom.

    ReplyDelete
  2. anony wa hapo juu point.
    Ila sasa sijui jk atamaliza wangapi, ni hivi karibuni tu nilikuwa kijijini nimetia tim bongo hakuna maji, yaani nchi inashindwa kumhakikishia mlipakod kama ataoga asubuhi akatafute kodi ya kulipa, likewise kwenye sekta nyingine nyingi tu kama umeme, posta nk, huduma fyongo, kwa kweli tujifariji tu kuwa tazania tambarare ila ni kwa kundi flani tu la watu, jamani mimi japokuwa nina kazi nzuri ila sasa bongo imenishinda, nikipata mchongo bora nikabebe boksi hata aka tano nirudi nikiwa kwenye class nyingine, ila tarudi?nimeshawah kwenda ulaya nikachukia labda amerika taweza, ulaya napo ubaguzi mno, mtu mweusi unajishtukiiiiiia!mwenye mchongo jamani haswa wa yuu esi ei(usa) tushituane wadau tije tibebe maboksi tijikomboe na kero za umaskini.

    ReplyDelete
  3. Tambarare mnalalamika nini??Tutaoga na maji ya mvua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...