

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
YAHUSU MABASI HALISI YA ABIRIA - DAR EXPRESS
ReplyDeletekwa jamaa zetu wanaotaka malori yaendelee kubeba abiria, huu ndiyo mfano halisi wa basi la abiria kwa safari za mikoani - NAZUNGUMZIA BASI LA DAR EXPRESS KAMA LILIVYOCHAPISHWA NA MICHUZI.in fact Michuzi, tusaidie kupata story kutoka kwa akina Mremi kuhusu hayo mabasi, itawahamasisha wengine kuyanunua pia.
wengine watalalamikia kuwa bei kubwa, over USD $ 300,000 a bus, jibu langu kwao ni kwamba kama hawezekani siyo lazima wafanye biashara ya abiria, mbona biashara ziko nyingi jamani?quality doesnt come cheap watanzania.IRIZAR ni kampuni ya kihispania, wao wana mkataba rasmi na SCANIA kuunda bodi za mabasi, wanauza kote duniani, Uingereza kwa mfano hizo IRIZAR ni nyingi kutokana na ubora wake.Cha ajabu jamaa zetu wananunua scrap za malori, halafu zinaishia kunyonga wananchi.
keep it up Dar Express, a serious TRANSPORTER should import passanger service vehicles like this, lakini ikumbukwe kwamba yapo makampuni mengi sana yanaunda mabasi imara yanayoweza kupunguza ajali na kuokoa maisha ya watu.
after all technology ya kuunda mabasi siyo kubwa sana, basi tu watanzania tunapenda ulipuaji na ubabaishaji.
Pamoja na Salamu za hizi Sikukuu zetu, yafuatayo hayaandikwi au hayasikiki kwenye vyombo vetu vya habari. Yaja!
ReplyDeleteTuweni macho! Dubai yaingia kwa fujo, pia, shauri ya mafuta na dhahabu huko Ruvu.
Serikali iliamua kutosaini mikataba mipya ya madini kabla ya zamani yaijapitiwa. Sijui, kwa nini madini tu na huku ya gesi na mafuta yetu, pia ni yale yale?
Clyde & Co Advises Dodsal on Strategic Move into Tanzania:
Clyde & Co has advised Dubai-headquartered Dodsal Resources in connection with the recently executed Production Sharing Agreement (PSA) between Dodsal's wholly-owned subsidiary Dodsal Hydrocarbons and Power (Tanzania), the Tanzanian Ministry of Energy and Minerals and Tanzania Petroleum Development Corporation for exploration for oil and gas for the RUVU block in Tanzania.
Dubai based corporate partner Abhi Jalan, assisted by associates Mansi Kochar and Catherine Gill, led the Clyde & Co team advising on the transaction.
Dodsal Resources is a new thrust for the Dodsal Group in the energy sector for exploration of not only oil and gas but also mining of metals and minerals.
Rajen Kilachand, chairman and president and the owner of Dodsal Group, recently told media that Dodsal Resources is a key strategic business for his group and he expects it to equal or grow bigger than the engineering and construction business.
Clyde & Co also advised Dodsal on its entry into and structuring of operations in Tanzania and on the securing of mining concessions for prospecting minerals and metals over a 100 square kilometre area.
A preliminary field survey of this area has shown traces of gold and other metals. However, a detailed exploratory study is under progress to determine the size of the reserves.
Huu si ndio uharibifu wa mazingira? kwa nini serikali haipigi marufuku watu kukata miti na kuiuza halafu baada ya x-mas inabakia kama takataka
ReplyDelete