Kaka Michuzi pole na kazi,
mimi mdau nawatafuta Beatrice S. Riwa, Jenifer Lyimo na Happy Elieza Kissaka.Tulisoma wote St, Joseph commercial School Tanga na tukawa tunaishi Hostel ya masista Chumbageni.Mara ya mwisho kuonana ilikuwa mwaka 1993, nilisikia Happy ni mhasibu katika shule moja huko Usangi, na Jenifer nilisikia anfanya kazi Dar ila sina mawasiliano nao, ninawatafuta sana kama kuna mtu anajua walipo ama address zao basi wanisaidie kupitia hapo hapo katika blogu yetu ya jamii.
Ni mimi mdau,Nuru - UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nawe mdau kama ni Nuru Alli niandikie text kwenye +447880513215tuongee yetu. Kama siye, basi ikiwa unamfahamu mpatie hii namba.

    ReplyDelete
  2. nafurahi kusoma kwa mdau alieyewahi kusoma st.jospeph comesho tanga, mi ni mmoja wapo lakini ni wa 2000, na nipo nje pia. nadhani we utakuwa enzi za kina petronila. mi ni enzi za sister andrew. natumaini utawapata wenzio.

    ReplyDelete
  3. je, ni zile enzi za kina agness francis!! kama yes nijibu, nitakuunganishia

    ReplyDelete
  4. Mi pia nipo UK ila Beatrice Liwa nikimtrace nampata nimekaa nae kituo kimoja kwa miaka takribani mitatu text +447984969394.

    ReplyDelete
  5. kwa kweli kama utanisaidia kumpata Beatrice basi nitafurahi sana, namtafuta sana si kwa ubaya kama ujuavyo tulikuwa tunaishi kama ndugu ila katika kutafuta maisha ndio tukapoteana.
    mimi nipo Uk- westmidlands,je wewe upo wapi?? na Beatrice yupo Uk ama yupo Tz?? pia kuna mdau ambae amesema kama mimi ni Nuru Ali tuwasiliane, mimi sio nuru Ali samahani sana.
    Tafahdalini sana nisaidieni nitafurahi kuwapata hao wanafunzi wenzangu, hata mmoja itanipa faraja sana. Mimi Nuru- Uk

    ReplyDelete
  6. Aisee si unajua mihangaiko ya uk.nilishampa kazi thirdparty anatrace namba yake.nikimpata tu natakutumia.nitamcheki leo jioni.Niko Oxford.Beaty yuko TZ.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...