Brother Michuzi na wadau wote Tanzania,
kwanza kabisa hongera kwa blog yetu ya jamii wa kibongo duniani. Mimi Jabir Kupaza na wakina Kupaza wa Holland tunawatakia watanzania wote heri ya mwaka mpya. kwangu mimi mwaka 2007 ulikua wa mafanikio kwani nilipata nondo ya MYP hapa International School Groningen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. MYP ni Middle Years Programme inyitolewa na International school kabla ya kuingia University. Sasa mwenetu vipi mbona umevaa joho la terminal degree, yaani doctorate?

    ReplyDelete
  2. We wa kwana kutoa komenti acha wivu

    ReplyDelete
  3. We wa pili kutoa comments acha ubishi, yawezekana wa kwanza kutoa maoni anajua vizuri mambo yanavyokwenda. Mbona kauliza na kutoa ushahidi vizuri, mwace mwenye picha hapo juu atetee joho hilo

    ReplyDelete
  4. Mmh hayo inabidi tuyaache kwani ni magumu kwelikweli kwani vikinda bongo vya nursary navyo vinajibariki na majoho sembuse huyo mheshimiwa

    ReplyDelete
  5. Kijana Mzuri sana huyu, ningependa kujua age yake isije kuwa ni under age! eti handsome una miaka mingapi jamani ,mbona unaonekana kama ni mdogo?

    ReplyDelete
  6. hata mimi nilishangaa kijana mdogo hivyo kashaula? I think this has something to do with the dutch education just like SAT in the US.

    Congratulation to you

    ReplyDelete
  7. Dogo acha uhuni, hilo joho na stripes zake tatu mikononi ni la doctorate hilo, usitake kuwafunga watu kamba hapa...

    ReplyDelete
  8. Dogo mhuni tena BITOZZ wa karne mpya, kwanini usiende na mambo yanayokuhusu? Unajua yule mtoa maoni wa kwanza kabisa juu ni Prof. Ndio maana alipouliza alikuwa hapindi pindi. Sasa we dogo unaleta hizo! Habari na kivazi haziendani mwanangu!

    ReplyDelete
  9. mweeee, kaserengeti boi haka jamani, naona kameshachukuliwa na wasichana wakizungu. haka katoto ni handsome, kama uko single kijana tuwasiliane kwenye soys2006@yahoo.com

    ReplyDelete
  10. hivi hoja ni joho au nikile alichopata? baadhi ya nchi kama marekani mtu hata kapata high school diploma anavishwa joho, sijui hio shule nayo iko kwenye huo mfumo.
    Hongera kijana kwa ulichopata

    ReplyDelete
  11. Huyo mtoto ni GENIUS! Anapata Ph.D akiwa na miaka 15!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...