Salam bwana michuzi,
kwanza nakutakia heri ya mwaka mpya,mungu akuzidishie afya njema na nguvu ili uweze kuendelea kutuunganisha wabongo wote ndani na nje yanchi kwa kupitia blog yetu hii ya jamii,pili nitafurahi kama utaniwekea ujumbe wangu huu kwani mimi nipo nchini Norway takriban18yrs sasa,kuna baadhi ya rafiki zangu nilio maliza nao Kibasila primary school 1987 mmoja wao ni Patric Kisaka,Mpoki Masagwa,ninge penda wawasiliane na mimi kupitia email adress yangu hii shando63@hotmail.com
asante
Abraham yassin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...