mh. harrison mwakyembe


Hey, I've posted a new episode on my podcast. Check it out; I think you'll like it!
Title: KLH News




Episode: Walioongopea Kamati: "tutawapa fundisho hawatasahau"




Enjoy!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Umuhimu wa wasomi kuweko katika siasa tutauona kwenye hiyo ripoti.Mwakyembe awe very serious kulinda fani yake na wanasheria.Ni wakati wa kuionyesha jamii kuwa msomi kuwako katika siasa ni sawa kabisa kwa kutoa ripoti ya uhakika yenye upembuzi wa uhakika na isiyo na chembe za ubabaishaji ndani.

    Ni vizuri Mwakyembe ajue kuwa Ripoti hiyo itasomwa na wasomi wengi ndani na nje ya nchi na kuitumia hiyo waweza kufanya evaluation ya upeo walionao wanasheria wa Tanzania wakiwemo ma-DR. kama yeye.Tunaomba tetea fani Mwakyembe kwa kushusha ripoti ya nguvu ya kupigiwa makofi kuanzia kwa wanaaluma wa ndani na nje ya nchi.

    Watu wengi wamepoteza hamu na wasomi wanawaona ni sawa tu na wahuni na wababaishaji wengine tu.Hiyo kamati yako naona mumo wasomi.Kama hamtatoa ripoti yoyote ya maana ni vizuri mfanye kama Idissa Rashid Mkurugenzi wa TANESCO ambaye aliona heri aondoke kuliko kuiabisha fani yake ya Uchumi kwa kufuata maagizo ambayo yangelifanya shirika liendelee kuwa tegemezi kwa kula hela za walipa kodi bila kufikia mahali lijitegemee huko mbeleni.Huyo ni msomi wa kwanza awamu hii kuonyesha kuwa kasoma na anajua alichosoma na hahitaji kuyumbishwa.

    Mwakyembe onyesha makali ya hii fani.Watu bado hawajaiona vizuri hasa kwenye eneo hilo la siasa.

    Sisi yetu macho tunangoja tuone hayo ya Mheshimiwa DK.Mwakyembe maraingine mnasema wasomi hawashirikishi ndiyo maana mambo hayaendi vizuri sasa tume hiyo Mwakyembe umepewa tuone kama kuna kisingizio kingine mtatoa.Ripoti yenu tutailinganisha na ripoti huru za wanablog halafu tuone nani mkweli kuliko nani.

    ReplyDelete
  2. Wadau naomba mnikumbushe, nilipokuwa kijana mdogo nilisoma novo moja ya kiswahili, siikumbuki jina, lakini ilikuwa ya kimapinduzi haswa. Jina la mtunzi nakumbuka lilikuwa ni Mwakyembe. Je? Mwandishi yule ndiye Mwakyembe huyu Mwanasiasa Msomi?

    ReplyDelete
  3. Dr. Mwakyembe, I heard a lot of good thing about you, now prove those people wrong. This is your time to build your reputation or break it. This is your time to make history. We are waiting for justice as I believe that under your care, justice will be served.

    ReplyDelete
  4. Nianze kwa kuwa na wasiwasi na mahojiano yote huyo dr mwakikidodo ana play mind game kwani kafanya mahojiano yote mwisho anasema eti anaendesha gari asije akagonga kwanini asingesimamisha mahojiano yote mpaka afike kwake who cares ur driving or whatever ur doing mimi siamini kama hiyo ripoti italeta maana ni mind game and ur finding hard to start!

    ReplyDelete
  5. Natamani nikuite Dr Michuzi kutokana na vitu vyako.Mi naona kamati ingeshughulika nao kwa huo huo utani walioleta kamatini.second time so what?ili wawe in safe side?aisee waTZ tembeleeni Uingereza ambako sheria zilianzia muone.sheria kila unapokanyaga.huo huo utani ndo ungekuwa pa kuanzia no second time.so what??.Tunamuombea Dr mwakyembe awe mwakilishi mwema wa wasomi hasa wa TZ ambao wanapoteza imani kwa jamii.tunashukuru kaka michu.tunafaidi sana glob yako kaka byeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  6. Huyu mbaba/kaka ana midomo mizuri ya kunyonya. I hope anaitumia vizuri na sio ku abuse.

    ReplyDelete
  7. NYIE WAHESHIMIWA UNATUCHANGANYA, TAKUKURU ILISHASEMA KUHUSU RICHMOND KUWA HAKUKUWA NA RUSHWA YOYOTE, SASA KABLA YA KUANZA KUICHUNGUZA RICHMOND KWANINI MSINGEANZA KWANZA KUICHUNGUA TAKUKURU KUHUSU TAARIFA YAKE YA RICHMOND KUONA KAMA KULIKUWA NA RUSHWA NDANI YAKE? SASA, KAMA MKIKUTA RUSHWA NDANI YA RICHMOND TAKUKURU ITAFANYWA NINI KUHUSU TAARIFA YAKE YA RICHMOND, NAYO ITAKUWA ILIDANGAYA AU ITAUNDIWA TUME?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...