miss tz 2007 richa adhia akiwa na mdau wa ukerewe ayoub mzee ambaye yuko bongo kwa mapumziko. richa kasema asiyekubali kushindwa si mshindani hivyo pamoja na kutotwaa taji tusikate tamaa kwani wani dei yesi. mdau ayoub ni mwandishi na mpigapicha za tv london

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Richa ukicheza utageuka Jamvi la Wageni,Kuna watu watataka kuku-console kumbe... Haya yangu Ma-eyezzzzzzzz!!

    ReplyDelete
  2. Sasa leo michu umewataka ubaya waosha vinywaaaaaz......

    ReplyDelete
  3. kwanza bado mdogo wewe si upo shule? Kwani shule zimefungwa au umechukua semester off...oh..oh....uko home schooling???....Take your time .. si unajua siye kama wahindi tu.. tutakuchekea ukiondoka tunakusema nyuma...nina maana huwezi kuwaridhisha wadau wote wnaotoka majuuu uende nao lunch...kama unaweka networking sawa lakini just lunch my dear...

    ReplyDelete
  4. Mtoto anamdomo mbaya huyu! Duuuuuuuu. Wanafanana sana na huyo Ayoub Mzee, je ni uncle wake nini???

    ReplyDelete
  5. Eee Bwana eee!
    Kumbe haka katoto kazuri jamani enh!
    Unacheki paja hilo.
    Michuzi hivi naweza kumpataje huyu?

    ReplyDelete
  6. Mmmh jamani mpz Richa apo umependeza kwa kweli ungevaa ivyo wakati unakuja kutoka china pale airporty ingekuwa bomba zaidi.wa ukweli ukweli.chukua iyo.

    ReplyDelete
  7. jamani michuzi unatubania sana,hizo picha za lazaro na faraja mbona huweki?nasikia harusi ilikuwa funika bovu

    ReplyDelete
  8. Richa, you are very beautiful and you have a bright future!

    ReplyDelete
  9. mbona wabongo mna wivu na huyu mtoto,you seem so sad you whine and more whining and more whining it's getting boring now,mdomo mbaya wa kwako mzuri,tuwekee picha yako na sie tuku "judge".kushinda miss tz kashinda there is nothing you can do about it,na China kenda there is nothing you can do about it,na kashindwa you can still do nothing about it,so why dont you just give up and give the girl a break,kama ni aibu ni yake ya kushindwa.find something or someone else to pick you loosers.

    ReplyDelete
  10. hi richa habari kwanza hongera mtoto kwa kuiwakilisha tz you are very beautifull,ilike you alot,usijali na midomo ya watu take care of your self dear,u keep smile baby you are maizing little girl,you cant change people ther are so jelasy,because you are prety baby this is a life enjoy if life is gone is no gona come back again dear,so always keep smile.b

    ReplyDelete
  11. wao weusi watakutongoza tuuu!!!Richa...

    ReplyDelete
  12. piga ua hapo ni mgahawa wa CITY GARDEN.

    ReplyDelete
  13. Mimi binafsi si mshabiki wa miss whoever, lakini ninachokiona hapa ni chuki, wivu na husda.

    I am sure yoyote mwenye negative comments in such away diverting from humanity, to an absolute racists comments which hinder openness to humanity and a free will thinkers.

    Look at yourself and people who love you most around you, and you probably would not come up with these bigotry comments, because you know what you end up insulting them.

    Peace to you all.

    By Mchangiaji.

    ReplyDelete
  14. Jamani, Richa anaonekana binti mwenye busara na heshima kwa watu bila ubaguzi. Alivyosema kuwa asiyekubali kushindwa si msindani, ni busara ambayo tunahitaji apite mashuleni na vitongojini kuwafundisha vijana wetu. Ni mfano wa kuigwa na watoto wetu, na huyu Richa ni mwalimu tosha. Huyu kweli amestahili kuwa Miss Tanzania.

    ReplyDelete
  15. KHA MREMBO ANAPENDA KANGA HUYO KILA AINA HAYA

    ReplyDelete
  16. halo richaa usijali vichaa wanavyosema ni washamba, vinywele kama ufagio i hate watu wanaochukia urangi,wanakuonea choyo kwa sababu wao sio wazuri,hawana lolote choyo kimewazidi na roho mbaya wanaona kwa nini hakupelekwa pua kama ,achana nao washamba usiwajali,dear

    ReplyDelete
  17. Mama Weeeeeeeee...Kumbe Richa ana Upaja hivyo..lol..hapo natoa Credit cards zangu zote..Mhh mtoto unawaka..!!

    ReplyDelete
  18. Richa tafadhali nisikilize. Hapa nilipo nimevua nguo zote kukuomba uwe wangu...How can I get you Mamaa? Duh, you are awesome, I love that smile, very seductive!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...