katibu mkuu wa chama cha muziki wa dansi (chamudata) hassan msumari akimkabidhi cheti cha uamanachama prezidaa wa ngwasuma nyoshi el sadaat usiku huu klabu ya msasani katika juhudi za chamudata kupata wanachama wa bendi na wanamuziki nchini. bendi ya msondo ndio iliyoanza kupokea chati hicho na kwa mujibu wa msumari bendi zote na wanamuziki watakabidhiwa vyeti vya usajili kwa awamu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...